Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

ORODHA HII HAPA MKUU

Pop The Trunk , Yelawolf

Shook Ones , Mobb Deep

Real Muthaphuckin G’s , Eazy E

Nuthin But A G Thing , Dr. Dre

Violent , Tupac

Da Blow , Lil Jon & The East Side Boyz

Hussle & Motivate , Nipsey Hussle

Gangsta Rap Made Me Do It , Ice Cube

Late Night Tip , Three Six Mafia

Everybody Looking , Gucci Mane

Middle Child , J Cole

This Is How We Do It , Montell Jordan

On My Level , Wiz Khalifa

Blueberry Yum Yum , Ludacris

We On Fire , Hot Boyz

What You Gon Do , Lil Jon

Mo Murda , Bone Thugs N Harmony

Notorious Thugs , Notorious BIG

Come And See Me , Ludacris

Lost , Gorilla Zoe

Humpty Dance , Digital Underground

6 Foot 7 Foot , Lil Wayne

Just A Lil Bit , 50 Cent

Ballin , Logic

Mr. Me Too , Clipse

My Shit Bang , E40

Ric Flair Drip , Metro Boomin

Super Bass , Nicki Minaj

Gangstas Paradise , Coolio

Gz And Hustlas , Snoop Dogg

Rack City , Tyga

Blow The Whistle , Too $hort

Too West Coast , Ice Cube

Ya’ll Know Who I Am , Ice Cube

Hood Mentality , Ice Cube

Love In This Club , Usher

What You Know , T.I.

Its Going Down , Yung Joc

Patron , Yung Joc

A Milli , Lil Wayne

Play , David Banner

Grindin , Clipse

Nonstop , Drake

Mask Off , Future

Goin Dummi , Future

LSD , ASAP Rocky

Swing My Door , Gucci Mane

So Many Tears , Tupac

Bourbon And Lacs , Master P

South Side , Lil Keke

Air Force Ones , Nelly

Big Poppa , Notorious BIG

Doggystyle , Snoop Dogg

Where Is The Bud , Three Six Mafia

New Level , ASAP Ferg

Wow , Post Malone

Worldwide Choppers , Tech N9ne

Summertime , DJ Jazzy Jeff

What Happened To That Boy , Baby

Bia Bia , Lil Jon

Boyz N The Hood , Eazy E

No Lie , 2 Chainz

Born Stunna , Birdman

Trouble , Major

Goldie , ASAP Rocky

Hate It Or Love It , 50 Cent

Throw It Up , Lil Jon

Money In The Grave , Drake

Clout , Offet

Homicide , Logic

Forgot About Dre , Eminem

2 Of Amerikas Most Wanted , Tupac

Lay Low , Snoop Dogg

All There , Young Jeezy

Im Supposed To Die Tonight , 50 Cent

Dipset Anthem , The Diplomats

Bad Boyz , Shyne

Get Throwed , Bun B

Chunk Up The Deuce , Lil Keke

Adrenaline Rush , Twista

Front Porch , Twista

Diamonds & Wood , UGK

Country Shit , Big KRIT

Freaky Things , Ludacris

Some Cut , Trillville

No Problem , Lil Scrappy

Kill Us All , Twista

Fire , Twista

Bank Roll , Lil Boosie

BM JR , Lil Wayne

Tha Mobb , Lil Wayne

Beat Without Bass , Lil Wayne

Country Ass Nigga , Nelly

24’s , T.I.

Smoke A Nigga , Juicy J

What Da Hook Gon Be , Murphy Lee

Welcome To Atlanta , Jermaine Dupri

Area Codes , Ludacris

Bass Ackwards , Tech N9ne

Ukipiga hii lazima wakufuate mtaani kuja kukuomba msamaha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
mkuu shukran sana ngoja nizishushe zote ntaleta mlejesho kesho,leo night nalala kwa mshikaj
 
Mleta uzi unanikumbusha mbali, kuna mwaka niliishi kurasini Dar wakati nikisoma pale CFR. Katika nyumba niliokua nikiishi kulikua kuna mshamba mmoja anakiredio chake sijui ndio kisabufa anakaraha kama kinyesi kilichovuja. Baada ya kuelezana kwa siku kadhaa ili aache kufungulia mziki sauti kubwa na kukataa.

Nikapanga kukomoa, kuna siku nilipata kuvuka nikaenda zenj, nikakusanya kidude cha kichina nikaja nacho getto. Nikasubiri siku ya jumamosi jamaa wamejaa vyumbani mwao asubuhi mapema nikakiwasha na ile sauti mbaya ya ghasia nikajua itawaumiza masikio, mm nikabeba vitabu na kilaptop changu nikajitoma library chuoni kimya.

Stori wakati narudi saa moja jioni, nakutana na mwenye nyumba ananambia wenzako wanasema wamejifunza, ustaarabu ila hukupaswa kuwasumbua vile. Anasema hayo huku anacheka nakunionesha alama flani ya kusapoti njia yangu ya kuondoa tabia ya kusumbuana [emoji106][emoji122],

Kuna mambo mingi ya kujifunza ukiwa unaishi nyumba za kupanga. Inakupa adabu ya kustahamili tabia usizozipenda za wapangaji wenzako, ila mara zengine inakufanya uwe kisirani zaidi yao.

Sent from my SM-G5510 using JamiiForums mobile app
 
mkuu ulofungulia kisha ukatokomea,bora ww ulifanya mchana mimi nawavizia wamelala naachia hizo ngoma hapo juu
 
ORODHA HII HAPA MKUU

Pop The Trunk , Yelawolf

Shook Ones , Mobb Deep

Real Muthaphuckin G’s , Eazy E

Nuthin But A G Thing , Dr. Dre

Violent , Tupac

Da Blow , Lil Jon & The East Side Boyz

Hussle & Motivate , Nipsey Hussle

Gangsta Rap Made Me Do It , Ice Cube

Late Night Tip , Three Six Mafia

Everybody Looking , Gucci Mane

Middle Child , J Cole

This Is How We Do It , Montell Jordan

On My Level , Wiz Khalifa

Blueberry Yum Yum , Ludacris

We On Fire , Hot Boyz

What You Gon Do , Lil Jon

Mo Murda , Bone Thugs N Harmony

Notorious Thugs , Notorious BIG

Come And See Me , Ludacris

Lost , Gorilla Zoe

Humpty Dance , Digital Underground

6 Foot 7 Foot , Lil Wayne

Just A Lil Bit , 50 Cent

Ballin , Logic

Mr. Me Too , Clipse

My Shit Bang , E40

Ric Flair Drip , Metro Boomin

Super Bass , Nicki Minaj

Gangstas Paradise , Coolio

Gz And Hustlas , Snoop Dogg

Rack City , Tyga

Blow The Whistle , Too $hort

Too West Coast , Ice Cube

Ya’ll Know Who I Am , Ice Cube

Hood Mentality , Ice Cube

Love In This Club , Usher

What You Know , T.I.

Its Going Down , Yung Joc

Patron , Yung Joc

A Milli , Lil Wayne

Play , David Banner

Grindin , Clipse

Nonstop , Drake

Mask Off , Future

Goin Dummi , Future

LSD , ASAP Rocky

Swing My Door , Gucci Mane

So Many Tears , Tupac

Bourbon And Lacs , Master P

South Side , Lil Keke

Air Force Ones , Nelly

Big Poppa , Notorious BIG

Doggystyle , Snoop Dogg

Where Is The Bud , Three Six Mafia

New Level , ASAP Ferg

Wow , Post Malone

Worldwide Choppers , Tech N9ne

Summertime , DJ Jazzy Jeff

What Happened To That Boy , Baby

Bia Bia , Lil Jon

Boyz N The Hood , Eazy E

No Lie , 2 Chainz

Born Stunna , Birdman

Trouble , Major

Goldie , ASAP Rocky

Hate It Or Love It , 50 Cent

Throw It Up , Lil Jon

Money In The Grave , Drake

Clout , Offet

Homicide , Logic

Forgot About Dre , Eminem

2 Of Amerikas Most Wanted , Tupac

Lay Low , Snoop Dogg

All There , Young Jeezy

Im Supposed To Die Tonight , 50 Cent

Dipset Anthem , The Diplomats

Bad Boyz , Shyne

Get Throwed , Bun B

Chunk Up The Deuce , Lil Keke

Adrenaline Rush , Twista

Front Porch , Twista

Diamonds & Wood , UGK

Country Shit , Big KRIT

Freaky Things , Ludacris

Some Cut , Trillville

No Problem , Lil Scrappy

Kill Us All , Twista

Fire , Twista

Bank Roll , Lil Boosie

BM JR , Lil Wayne

Tha Mobb , Lil Wayne

Beat Without Bass , Lil Wayne

Country Ass Nigga , Nelly

24’s , T.I.

Smoke A Nigga , Juicy J

What Da Hook Gon Be , Murphy Lee

Welcome To Atlanta , Jermaine Dupri

Area Codes , Ludacris

Bass Ackwards , Tech N9ne

Ukipiga hii lazima wakufuate mtaani kuja kukuomba msamaha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hizi zinaitwa Bass Bangers ni hatari sana. Ukipiga hizi hakuna atakayelala
 
Kuna mshamba fulani alikuwa anamchosha sana mchumba wangu akiwa kikazi mkoani Tanga maeneo ya Sahare.
Ilikuwa apartment ambayo ina sehemu mbili. Jamaa akiwasha redio yaani mchumba anashindwa hata kusikiliza au kuangalia televisheni.
Jamaa akirudi kazini kwake tu ni muziki mpaka saa nne usiku na siku za weekend yaani ndio siku nzima na sauti ya juu sana.
Kuna wakati niliomba namba na nikamweleza kuwa namna anavyoweza sauti ya juu ni kero kwa mchumba wangu, jamaa akajibu jeuri kuwa umeme wa kwake, redio ya kwake na simlipii kodi.
Weekend moja nikaenda na kwa bahati sana mke wa jamaa ambaye alikuwa mjamzito pamoja na mtoto wao mwingine miaka kama 4 hivi nao wakawa wameenda kumtembelea jamaa.
Nikamwambia mchumba sasa leo ndio muda wa kumuonyesha huyu jamaa na kumfunza adabu.
Usiku huo tukaenda kulala pale Mawanda Inn ila tulifungua madirisha yote( madirisha ya aluminum) ili sauti itoke vizuri.
Nikatengeneza Playlist yangu ya nyimbo nzito tupu.
Muziki ukawashwa mimi na mchumba tukaenda zetu Mawanda kulala.
Jamaa alipiga simu mpaka alichoka.

Tunarudi saa mbili asubuhi ndio nasikia kwa mbali ule wimbo wa Nas Get out the way kabla ya kuingia kwa wimbo wa Eminem ule wa aliomshirikisha Dada Riyana.

Jamaa akaja ametoa macho nikamjibu "umeme ni wangu, redio ni yangu"

Saa saba mchana baba mwenye nyumba mzee Shemdoe akafika kutoka Mheza.

Kuanzia hapo jamaa hata redio yake hakuwahi kuwasha Maaana sikuisikia tena.

Maisha yakaendelea mpaka mchumba alipohama.
 
mkuu hapo ulimwonyeshea uanaume.unajua hawa watu sijui n kwa kuwa wameanza kujitegemea ukubwani
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Subiria siku amepata wageni anaowaheshimu, weka mkanda wa x, fungulia sauti ya juu. Funga mkanda, ondoka.

Tena unaweka repeat mode.

Huu ushauri niliusoma humu kuna jamaa alipost hii.

Screenshot_20210327-094327.png
 
Back
Top Bottom