Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

Nlivokua chuo hilo tatizo lilikuepo sana Download app inaitwa sleep sounds, inasauti mbalimbali. Me nlikua naweka sauti ya mvua alaf nacoonect na bluetooth speaker alaf unaweka volume adi mwisho. Usiku unalala usingizi mzuri tu.
Kha!kha!kha!,Hapo ili kumkosesha nani?.
 
Naona mnasifia seapiano zenu. Yawezekana majirani wako vizuri kuliko nyie.
Wana mziki mnene.
 
Huu mtihani nilishaupita. Sahivi nimekuwa msomaji zaidi
Basi ni jambo la kushukuru.

Wape ramani za ushindi wanaopitia hii mitihani, maana kuna watu wanataka kupita hii habari kuwa na ugumu kama kuishi sayari nyingine.
 
Binafsi nahisi ukorofi ulikuwa unanisaidia, na istoshe sikuwa mtu wa kushinda sana nyumbani. Sehemu nyingi sana ukorofi umenisaidia
 
Nimekuelewa, ukorofi muhimu.

Kuna mzee mmoja alikuwa anaandamana na Dr. Martin Luther King alikuwa anaitwa John Lewis, alikuwa anasema we must get into "good trouble".

Yani inabidi uukatae mfumo unaokukwamisha na kuuboresha kwako mwenyewe na watu wanaokuzunguka.

Ama sivyo utalalamika bila kujiongeza maisha yote.

Umenena hakika.
vipi wewe haujawahi kutana na changamoto za namna hii?
 
Nlivokua chuo hilo tatizo lilikuepo sana Download app inaitwa sleep sounds, inasauti mbalimbali. Me nlikua naweka sauti ya mvua alaf nacoonect na bluetooth speaker alaf unaweka volume adi mwisho. Usiku unalala usingizi mzuri tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Idea yako nimeipenda mkuu , ko una imagine kama mvua inanyesha uongo?
 
Back
Top Bottom