Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

Mi naona cha muhimu tafuta hela mkuu, unajua hakuna kitu kibaya kama kukosa hela (umasikini) yaani unakupangia wapi pa kuishi, nini ule, mke gani uoe, usafiri gani utumie, safari gani uende, kitanda gani ulalie, nk....(simaanishi wew ni masikini)

Unaju ukishapata noti hutakaa sehemu zenye mikelele ya muziki na nyumba za kusutana hadi wazazi huwezi kuwaambia waje home.

Ukipata noti hata kama hujajenga utaishi mahali patulivu, mazingira safi, hali ya hewa safi siyo hadi siku za sikukuu unasikia harufu ya choo na jalala,,,

Pata hela hama hapo hiyo ndo dawa tu!
 
Wakiweka taarab wewe weka singeli...
 
Nwewe mpandie na SEA PEANO yako nusu volyumu na kibao kila cha le jenerali defao cha famile kikuta ile kinaanza ziiiiiingaaaa!!
kina sauti sana muonyeshe nawewe makeke mkuu
 
Nlivokua chuo hilo tatizo lilikuepo sana Download app inaitwa sleep sounds, inasauti mbalimbali. Me nlikua naweka sauti ya mvua alaf nacoonect na bluetooth speaker alaf unaweka volume adi mwisho. Usiku unalala usingizi mzuri tu.
Idea poa sana hii ila haikukaa sawa kiusalama unless nyumba iwe na ulinzi wa kutosha kwa sisi tunaolala na mapanga ndani hautosense hatari yoyote km itatokea
 
hapa kwangu kero ni tofauti wakuu kuna mpangaji anakula majogoo kila week sasa anampa mwanae kipaja ukiona anavyocheza nacho hapo chini na mimi nimekula makongoro ya buku ni kero sana kwangu

Wewe tafuta kilinge cha wachawi kinakufaa!

[emoji1787]JF!
 
Nishakaa na Wa Jamaica wanapiga mziki usiku kucha.

Halafu unamsikia Bob Marley anaimba "I want to disturb my neighbor" katika "Bad Card".
Nishakaa na Wa Jamaica wanapiga mziki usiku kucha.

Halafu unamsikia Bob Marley anaimba "I want to disturb my neighbor" katika "Bad Card".
😃 Ulimalizana nao vipi?
 
Nlivokua chuo hilo tatizo lilikuepo sana Download app inaitwa sleep sounds, inasauti mbalimbali. Me nlikua naweka sauti ya mvua alaf nacoonect na bluetooth speaker alaf unaweka volume adi mwisho. Usiku unalala usingizi mzuri tu.
Dunia ina mengi
 
Wanaokushauri umle wanakosea, sana sana ndiyo utajua kwanini volume iwe juu.

Wanaokuambia ujenge nyumba yako hawana tofauti na kiongozi ambaye alilalamikiwa mikate hakuna halafu akajibu "Tengenezeni keki"

Wanaokuambia ushindane naye ni shwaini pia kwakua ukiwa unaoga chizi akiiba nguo zako akakimbia nazo ukimkimbiza ni wewe ndiye utaonekana chizi.

Mimi bwana kiukweli sina ushauri sababu pekee nipo macho kuna binti ameniambia atanishtua wapangaji wenzake wakilala niibuke kwa mlango wa nyuma. So nipo uwanja wa Mwananyamala A hapa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom