Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

Wakuu salama?

Katika maisha yote ya upangaji hamna kitu kinanikera kama baadhi ya wapangaji kufungulia subwoofer kwa sauti kubwa.

Hii kiukwel huwa inanikata stimu, inafikia ile time ya kurud magethon huna hamu kwa sbb ukiingia tuu utafikir umetoka kanisan unaingia disco.

Kuna mwanamke mmoja amepanga chumba kinachokaribia na chumba changu, anafujo huyo mama kwa upande wa mizik alaf kibaya zaid n taraabu mwanzo mwisho na nyimbo zote za kusutana

Juz mzee wangu alipita kwangu akiwa ametokea mkoa fulan akaona aweke kambi kwangu kwa siku moja, usiku tumelala yule mwanamke kafungulia subwoofer volume 52+, mzee wangu akaniuliza kijana wangu zile simu za usiku tunazowasiliana nakuuliza upo club kumbe ndo hivi, nilijiskia vibaya sana.

Asubuh yake tumeamka ding akaendelea na safar nikamfata yule mwanamke nikamchana akaenda kupunguza, lakn nilirud mchana nikakuta vile vile yaan.

Nilishajaribu kuongea na baba mwenye nyumba akanijibu hat yy ameshapiga kelele kuhusu wapangaji kupiga miziki kwa fujo lakn huyo mwanmke hasikii.

Hapo nyuma kabla hajaja huyo mwanamke kulikuw shwari kabsaa.

Niliwaza sijui niwe naacha nimefungulia SEA PEANO yangu niweke full bass volume 60[emoji1](simnaijua sea peano inaweza angusha ukuta)

Nawaza niwe nafanya ivo nafungulia SEA PEANO nafunga chumba natimkia job af niwe narud night sana.

Wajuba nyie huwa mnaikabili vipi hii situation.
Umepanga nyumba moja na wazaramo na wamatumbi unategemea upigiwe gospel ?

Si bora wewe unapigiwa muziki! Mimi nimewahi kupanga nyumba moja msela alikuwa na mke muda wote sauti za mahaba tu huenda wale watu walikuwa wanakula ngono si bure!
 
Wakuu salama?

Katika maisha yote ya upangaji hamna kitu kinanikera kama baadhi ya wapangaji kufungulia subwoofer kwa sauti kubwa.

Hii kiukwel huwa inanikata stimu, inafikia ile time ya kurud magethon huna hamu kwa sbb ukiingia tuu utafikir umetoka kanisan unaingia disco.

Kuna mwanamke mmoja amepanga chumba kinachokaribia na chumba changu, anafujo huyo mama kwa upande wa mizik alaf kibaya zaid n taraabu mwanzo mwisho na nyimbo zote za kusutana

Juz mzee wangu alipita kwangu akiwa ametokea mkoa fulan akaona aweke kambi kwangu kwa siku moja, usiku tumelala yule mwanamke kafungulia subwoofer volume 52+, mzee wangu akaniuliza kijana wangu zile simu za usiku tunazowasiliana nakuuliza upo club kumbe ndo hivi, nilijiskia vibaya sana.

Asubuh yake tumeamka ding akaendelea na safar nikamfata yule mwanamke nikamchana akaenda kupunguza, lakn nilirud mchana nikakuta vile vile yaan.

Nilishajaribu kuongea na baba mwenye nyumba akanijibu hat yy ameshapiga kelele kuhusu wapangaji kupiga miziki kwa fujo lakn huyo mwanmke hasikii.

Hapo nyuma kabla hajaja huyo mwanamke kulikuw shwari kabsaa.

Niliwaza sijui niwe naacha nimefungulia SEA PEANO yangu niweke full bass volume 60[emoji1](simnaijua sea peano inaweza angusha ukuta)

Nawaza niwe nafanya ivo nafungulia SEA PEANO nafunga chumba natimkia job af niwe narud night sana.

Wajuba nyie huwa mnaikabili vipi hii situation.
Hii yako chamtoto mm zamani nilishakaa karibu na walokole tumepakana vyumba...
Ile saa tano sita nimejitupia kitandani kulala wao ndio muda wao wa kunena unaanza....
 
Nyie wote mnaosema kufungulia muziki kisha unaondoka ili umkomeshe mtu nyie wote ni washamba tu,

Ukinifanyia mimi hivo nazima main switch kisha naiwasha utakuta kiredio chako kipo kimya
 
Kuna mmoja alikuwa ni jirani yangu.
Aloo.
Nlimfata mwenye nyumba,Nikamwambia nirudishie kodi yangu.
Sijaja kupanga club.
Alwakanya.
Mpaka leo kimya
 
Nyie wote mnaosema kufungulia muziki kisha unaondoka ili umkomeshe mtu nyie wote ni washamba tu,

Ukinifanyia mimi hivo nazima main switch kisha naiwasha utakuta kiredio chako kipo kimya
Katika nyumba ambazo kila mtu ana main switch yake sebuleni kwake.

Apartments nyingi atakama ni attached unit bado kila mtu anakuwa na mita na main switch yake.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
ORODHA HII HAPA MKUU


Pop The Trunk , Yelawolf

Shook Ones , Mobb Deep

Real Muthaphuckin G’s , Eazy E

Nuthin But A G Thing , Dr. Dre

Violent , Tupac

Da Blow , Lil Jon & The East Side Boyz

Hussle & Motivate , Nipsey Hussle

Gangsta Rap Made Me Do It , Ice Cube

Late Night Tip , Three Six Mafia

Everybody Looking , Gucci Mane

Middle Child , J Cole

This Is How We Do It , Montell Jordan

On My Level , Wiz Khalifa

Blueberry Yum Yum , Ludacris

We On Fire , Hot Boyz

What You Gon Do , Lil Jon

Mo Murda , Bone Thugs N Harmony

Notorious Thugs , Notorious BIG

Come And See Me , Ludacris

Lost , Gorilla Zoe

Humpty Dance , Digital Underground

6 Foot 7 Foot , Lil Wayne

Just A Lil Bit , 50 Cent

Ballin , Logic

Mr. Me Too , Clipse

My Shit Bang , E40

Ric Flair Drip , Metro Boomin

Super Bass , Nicki Minaj

Gangstas Paradise , Coolio

Gz And Hustlas , Snoop Dogg

Rack City , Tyga

Blow The Whistle , Too $hort

Too West Coast , Ice Cube

Ya’ll Know Who I Am , Ice Cube

Hood Mentality , Ice Cube

Love In This Club , Usher

What You Know , T.I.

Its Going Down , Yung Joc

Patron , Yung Joc

A Milli , Lil Wayne

Play , David Banner

Grindin , Clipse

Nonstop , Drake

Mask Off , Future

Goin Dummi , Future

LSD , ASAP Rocky

Swing My Door , Gucci Mane

So Many Tears , Tupac

Bourbon And Lacs , Master P

South Side , Lil Keke

Air Force Ones , Nelly

Big Poppa , Notorious BIG

Doggystyle , Snoop Dogg

Where Is The Bud , Three Six Mafia

New Level , ASAP Ferg

Wow , Post Malone

Worldwide Choppers , Tech N9ne

Summertime , DJ Jazzy Jeff

What Happened To That Boy , Baby

Bia Bia , Lil Jon

Boyz N The Hood , Eazy E

No Lie , 2 Chainz

Born Stunna , Birdman

Trouble , Major

Goldie , ASAP Rocky

Hate It Or Love It , 50 Cent

Throw It Up , Lil Jon

Money In The Grave , Drake

Clout , Offet

Homicide , Logic

Forgot About Dre , Eminem

2 Of Amerikas Most Wanted , Tupac

Lay Low , Snoop Dogg

All There , Young Jeezy

Im Supposed To Die Tonight , 50 Cent

Dipset Anthem , The Diplomats

Bad Boyz , Shyne

Get Throwed , Bun B

Chunk Up The Deuce , Lil Keke

Adrenaline Rush , Twista

Front Porch , Twista

Diamonds & Wood , UGK

Country Shit , Big KRIT

Freaky Things , Ludacris

Some Cut , Trillville

No Problem , Lil Scrappy

Kill Us All , Twista

Fire , Twista

Bank Roll , Lil Boosie

BM JR , Lil Wayne

Tha Mobb , Lil Wayne

Beat Without Bass , Lil Wayne

Country Ass Nigga , Nelly

24’s , T.I.

Smoke A Nigga , Juicy J

What Da Hook Gon Be , Murphy Lee

Welcome To Atlanta , Jermaine Dupri

Area Codes , Ludacris

Bass Ackwards , Tech N9ne


Ukipiga hii lazima wakufuate mtaani kuja kukuomba msamaha



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Duuh wewe jamaa mnyamwez kwerikweri maana sijaona singeli hapo

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Nyie wote mnaosema kufungulia muziki kisha unaondoka ili umkomeshe mtu nyie wote ni washamba tu,

Ukinifanyia mimi hivo nazima main switch kisha naiwasha utakuta kiredio chako kipo kimya
Hii akili wengi hawana
 
ORODHA HII HAPA MKUU


Pop The Trunk , Yelawolf

Shook Ones , Mobb Deep

Real Muthaphuckin G’s , Eazy E

Nuthin But A G Thing , Dr. Dre

Violent , Tupac

Da Blow , Lil Jon & The East Side Boyz

Hussle & Motivate , Nipsey Hussle

Gangsta Rap Made Me Do It , Ice Cube

Late Night Tip , Three Six Mafia

Everybody Looking , Gucci Mane

Middle Child , J Cole

This Is How We Do It , Montell Jordan

On My Level , Wiz Khalifa

Blueberry Yum Yum , Ludacris

We On Fire , Hot Boyz

What You Gon Do , Lil Jon

Mo Murda , Bone Thugs N Harmony

Notorious Thugs , Notorious BIG

Come And See Me , Ludacris

Lost , Gorilla Zoe

Humpty Dance , Digital Underground

6 Foot 7 Foot , Lil Wayne

Just A Lil Bit , 50 Cent

Ballin , Logic

Mr. Me Too , Clipse

My Shit Bang , E40

Ric Flair Drip , Metro Boomin

Super Bass , Nicki Minaj

Gangstas Paradise , Coolio

Gz And Hustlas , Snoop Dogg

Rack City , Tyga

Blow The Whistle , Too $hort

Too West Coast , Ice Cube

Ya’ll Know Who I Am , Ice Cube

Hood Mentality , Ice Cube

Love In This Club , Usher

What You Know , T.I.

Its Going Down , Yung Joc

Patron , Yung Joc

A Milli , Lil Wayne

Play , David Banner

Grindin , Clipse

Nonstop , Drake

Mask Off , Future

Goin Dummi , Future

LSD , ASAP Rocky

Swing My Door , Gucci Mane

So Many Tears , Tupac

Bourbon And Lacs , Master P

South Side , Lil Keke

Air Force Ones , Nelly

Big Poppa , Notorious BIG

Doggystyle , Snoop Dogg

Where Is The Bud , Three Six Mafia

New Level , ASAP Ferg

Wow , Post Malone

Worldwide Choppers , Tech N9ne

Summertime , DJ Jazzy Jeff

What Happened To That Boy , Baby

Bia Bia , Lil Jon

Boyz N The Hood , Eazy E

No Lie , 2 Chainz

Born Stunna , Birdman

Trouble , Major

Goldie , ASAP Rocky

Hate It Or Love It , 50 Cent

Throw It Up , Lil Jon

Money In The Grave , Drake

Clout , Offet

Homicide , Logic

Forgot About Dre , Eminem

2 Of Amerikas Most Wanted , Tupac

Lay Low , Snoop Dogg

All There , Young Jeezy

Im Supposed To Die Tonight , 50 Cent

Dipset Anthem , The Diplomats

Bad Boyz , Shyne

Get Throwed , Bun B

Chunk Up The Deuce , Lil Keke

Adrenaline Rush , Twista

Front Porch , Twista

Diamonds & Wood , UGK

Country Shit , Big KRIT

Freaky Things , Ludacris

Some Cut , Trillville

No Problem , Lil Scrappy

Kill Us All , Twista

Fire , Twista

Bank Roll , Lil Boosie

BM JR , Lil Wayne

Tha Mobb , Lil Wayne

Beat Without Bass , Lil Wayne

Country Ass Nigga , Nelly

24’s , T.I.

Smoke A Nigga , Juicy J

What Da Hook Gon Be , Murphy Lee

Welcome To Atlanta , Jermaine Dupri

Area Codes , Ludacris

Bass Ackwards , Tech N9ne


Ukipiga hii lazima wakufuate mtaani kuja kukuomba msamaha



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
What is this now????
 
Back
Top Bottom