msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,928
- 2,443
Brand gani hii mkuu
Brand gani hii mkuu
Du hatariNi shida sana.
Subiria siku amepata wageni anaowaheshimu, weka mkanda wa x, fungulia sauti ya juu. Funga mlango, ondoka.
Tena unaweka repeat mode.
Brand gani hii mkuu
si wanaenda kuzima main switchSubiria siku amepata wageni anaowaheshimu, weka mkanda wa x, fungulia sauti ya juu. Funga mlango, ondoka.
Tena unaweka repeat mode.
si wanaenda kuzima main switch
Angekuwa na huo uwezo angeshajengaJenga nyumba yako sehemu tulivu.
Ulikuja kumuoa huyo mchumba sasa?Kuna mshamba fulani alikuwa anamchosha sana mchumba wangu akiwa kikazi mkoani Tanga maeneo ya Sahare.
Ilikuwa apartment ambayo ina sehemu mbili. Jamaa akiwasha redio yaani mchumba anashindwa hata kusikiliza au kuangalia televisheni.
Jamaa akirudi kazini kwake tu ni muziki mpaka saa nne usiku na siku za weekend yaani ndio siku nzima na sauti ya juu sana.
Kuna wakati niliomba namba na nikamweleza kuwa namna anavyoweza sauti ya juu ni kero kwa mchumba wangu, jamaa akajibu jeuri kuwa umeme wa kwake, redio ya kwake na simlipii kodi.
Weekend moja nikaenda na kwa bahati sana mke wa jamaa ambaye alikuwa mjamzito pamoja na mtoto wao mwingine miaka kama 4 hivi nao wakawa wameenda kumtembelea jamaa.
Nikamwambia mchumba sasa leo ndio muda wa kumuonyesha huyu jamaa na kumfunza adabu.
Usiku huo tukaenda kulala pale Mawanda Inn ila tulifungua madirisha yote( madirisha ya aluminum) ili sauti itoke vizuri.
Nikatengeneza Playlist yangu ya nyimbo nzito tupu.
Muziki ukawashwa mimi na mchumba tukaenda zetu Mawanda kulala.
Jamaa alipiga simu mpaka alichoka.
Tunarudi saa mbili asubuhi ndio nasikia kwa mbali ule wimbo wa Nas Get out the way kabla ya kuingia kwa wimbo wa Eminem ule wa aliomshirikisha Dada Riyana.
Jamaa akaja ametoa macho nikamjibu "umeme ni wangu, redio ni yangu"
Saa saba mchana baba mwenye nyumba mzee Shemdoe akafika kutoka Mheza.
Kuanzia hapo jamaa hata redio yake hakuwahi kuwasha Maaana sikuisikia tena.
Maisha yakaendelea mpaka mchumba alipohama.
Hakuna niliposema anao uwezo.Angekuwa na huo uwezo angeshajenga
Nyumba atajenga na nini?Hakuna niliposema anao uwezo.
It's Hegelian Dialectic.
TVZ walikuwa wanasema "Mapinduzi Daima".
Na matofali.Nyumba atajenga na nini?
Hayo matofali ataokota?Na matofali.
Kwani wanaojenga wanajenga na nini?
Wapi nimesema ataokota? Waliojenga waliokota?Hayo matofali ataokota?
Siku njema kurangaWapi nimesema ataokota? Waliojenga waliokota?
Haiwi njema mpaka ujibu maswali.Siku njema kuranga
Nakusalimia Mkuu.Haiwi njema mpaka ujibu maswali.
Wapi nimesema ataokota? Waliojenga waliokota?
Hama nenda kapange kwingineWakuu salama?
Katika maisha yote ya upangaji hamna kitu kinanikera kama baadhi ya wapangaji kufungulia subwoofer kwa sauti kubwa.
Hii kiukwel huwa inanikata stimu, inafikia ile time ya kurud magethon huna hamu kwa sbb ukiingia tuu utafikir umetoka kanisan unaingia disco.
Kuna mwanamke mmoja amepanga chumba kinachokaribia na chumba changu, anafujo huyo mama kwa upande wa mizik alaf kibaya zaid n taraabu mwanzo mwisho na nyimbo zote za kusutana
Juz mzee wangu alipita kwangu akiwa ametokea mkoa fulan akaona aweke kambi kwangu kwa siku moja, usiku tumelala yule mwanamke kafungulia subwoofer volume 52+, mzee wangu akaniuliza kijana wangu zile simu za usiku tunazowasiliana nakuuliza upo club kumbe ndo hivi, nilijiskia vibaya sana.
Asubuh yake tumeamka ding akaendelea na safar nikamfata yule mwanamke nikamchana akaenda kupunguza, lakn nilirud mchana nikakuta vile vile yaan.
Nilishajaribu kuongea na baba mwenye nyumba akanijibu hat yy ameshapiga kelele kuhusu wapangaji kupiga miziki kwa fujo lakn huyo mwanmke hasikii.
Hapo nyuma kabla hajaja huyo mwanamke kulikuw shwari kabsaa.
Niliwaza sijui niwe naacha nimefungulia SEA PEANO yangu niweke full bass volume 60[emoji1](simnaijua sea peano inaweza angusha ukuta)
Nawaza niwe nafanya ivo nafungulia SEA PEANO nafunga chumba natimkia job af niwe narud night sana.
Wajuba nyie huwa mnaikabili vipi hii situation.