Huwa sipendi kumpa mtu pesa

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,070
Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa.
Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei.
Baada muda akatuma sms

"Yaani wewe ni Mgumu sana kumpa mtu pesa, mtu akikuambia anashida unamuuliza shida Gani, umfanyie utatuzi"

Last week alisema Kodi imeisha nikampgia mwenye Nyumba, nikamtumia Kodi yake.
 
Em jaribu kuniwekea kwanza ya soda ndio uje na mrejesho hapa kama kweli hupendi au tu huyo kakukera😁😆

Anyway,. Siku nyingine uwe unampa bila kukuomba wanawake tuna mambo mengi sana na sio lazima yote kuyaeleza
 
Hio avatar inasadifu
 
Tupo wengi mkuu,sema pia inategemea na mtu mwenyewe, mimi kuna watu bora niwape pesa kuliko kwenda kusolve tatizo lenyewe. Mfano kuna mtu akiniomba labda 200k/= nampa chap ila siyo kumnunulia nguo , hapo unaweza ukalia.
Kwenye Nguzo kaka Hawa Viumbe Bora uwape tu pesa waende wenyewe, na Pia mi huwa nampangia Shop yangu, uwezo wangu mama ni kiasi hiki. chukua kafanye yako,
Mahitaji ya ndani yupo mshikaji wangu Tandika pale anajua jukumu lake Mchele mzuri ukifika tu one Call unaletwa sasa, yeye Bado anakasilika Why Mchele asifuatirie yeye.
 
Mkuu,huyu kama hujamwoa usimwoe,kama umemwoa tayari,endelea kupambana tu hakuna namna 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…