First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
- Thread starter
- #121
me mzima shem, vipi wewe?
me poa aseee... unaleta mapozi sana siku hizi bhana..
me mzima shem, vipi wewe?
duuh! nimependa mawazo yako
enheeee.... afu labda wewe nakukuta barabarani unatembeza vitumbua.
me poa aseee... unaleta mapozi sana siku hizi bhana..
Thats good unatakiwa utengeneze trust wewe kwanza hongera
asanteeee sana
karibu mumie
mapozi gani tena Shem....
unakatika katika sana...