Huwa nawaza tu

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,320
2,000
siku nakuja kumjua Madame B nakuta ni mama wa watu mwenye heshima zake... tena mama mchungaji labda...

Khantwe na kumwita kote mama mkwe kumbe ni katoto ka shule ya sekondari au ndo kanaanza chuo

kiwatengu ni kachali tu kanafanya biashara ya kuuza CD na kuingiza nyimbo kwenye memory card na ka laptop yake...

janeth1 na kumwita kote mke wangu romantic eyes mdogo wake kumbe kenyewe ni kadogo hakuna mfano...

shansarie nakuja kumkuta anauza mgahawa maeneo ya machame..

miss chagga nakuja kumfuma live kwenye kibanda cha airtel money huku anachat jf wakt wateja wamepungua...

Mr Rocky nakuja kuonyeshwa bar za mtaani anakung'uta banana kule moshono maeneo ya masai camp..

Ntunzu kumbe nae ni fundi viatu...

Dena Amsi ni mbunge wa vitu maalum kutoka babati... afu ndo anaitwa mchepuko na mnywa banana....

Evelyn Salt unakuja kumfahamu ni bonge la braza....

a.rahabu ni house girl wa mwalimu kabanga....

Asprini ni kijana mdogo tu mwenye miaka 17 afu mamafacebook ni mbibi mwenye umri wa miaka 80>......

Mtoto halali na hela ni mlinzi...

Elli79 ni dereva bodaboda...

haya ni mawazo yangu tu.... huwa nawaza sana kuhusu hizi keyboard zetu... asilimia kubwa hatufahamiani jamani....
 
Last edited by a moderator:

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
52,871
2,000
Hivi kumbe janeth1 ni mkeo na si shemeji yako.....kweli nazeeka vibaya
 
Last edited by a moderator:

peterchoka

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
7,376
2,000
Nashukuru nimefahamiana na wana JF watatu, japo sijui title zao ila huwa napata picha nachat na mtu wa aina gani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom