ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Last edited by a moderator:
Na mtashangaa sana !
Siku mtakayo bainikiwa kua Madame B ndiyo SALMA kikwete
Evelyn Salt ndiyo Tunu Pinda
a.rahabu ni anne Kilango na ladyfurahia ni Halima Mdee .
Na mtashangaa sana !
Siku mtakayo bainikiwa kua Madame B ndiyo SALMA kikwete
Evelyn Salt ndiyo Tunu Pinda
a.rahabu ni anne Kilango na ladyfurahia ni Halima Mdee .
ha ha ha we acha tu watuchukulie poa
5million Tsh???!!!!this is soo astaghfirullah laazim kufur wallah....kwa hili hata sihitaji muda wa kulifikiria nakuja pm sawa BABY?Afu we Shorry nimetenga mostly M. 5 T'sh !
Nawashwa kuchunwa! Tena nawashwa haswaa!
Kwa sababu nna mihela so far nna kibri ! Sihitaji debate !
Nakutaka wewe (specific) unichune december hii .
5million Tsh???!!!!this is soo astaghfirullah laazim kufur wallah....kwa hili hata sihitaji muda wa kulifikiria nakuja pm sawa BABY?
Harryup!
Njoo fasta , fursa kama hizi hazizaliwi kila mara !
Hata kama imekukutia bafuni, usihangaike kupambaika!
Ukuje hivyohivyo utapambaikia eneo la tukio!
Njoo uone Paka mahiri alambavyo maziwa!
kudadadeki wallah mbuzi kafia kwa muuza supu sijui nimchome, sijui nimkaange mie...
hapana sio kwa sauti mkuu... nimewaza kw maandishi.
Kwa vile waja chukuchuku tokea bafuni , basi na mee apikwe chukuchuku!
Namie takupokea mithili ya msumari ukaao juu ya mwamvuli , usimamavyo! Ukiukunja umesimama , ukiukunjua umesimama !
Kula hela yangu Pitchuna !
We kata tu ruberband sihitaji kuzifunga tena!
uhhh leo mbwa kala mbwa wallah....
Nakusubiri ivoo !
Kabati mi ndo n'shatupa kule! N'shapambaika za kuogea ujue!
Wapigao chabo , sijui bodi , wabodike salama! Nala mifeza yangu!
Na feza sio mnduku kwamba kila mtu anao!
umenifurahisha mno eti nauza mgahawa machame na mumewangu anachoma cd lol bora usiendelee kutufaham tusiku nakuja kumjua Madame B nakuta ni mama wa watu mwenye heshima zake... tena mama mchungaji labda...
Khantwe na kumwita kote mama mkwe kumbe ni katoto ka shule ya sekondari au ndo kanaanza chuo
kiwatengu ni kachali tu kanafanya biashara ya kuuza CD na kuingiza nyimbo kwenye memory card na ka laptop yake...
janeth1 na kumwita kote mke wangu romantic eyes mdogo wake kumbe kenyewe ni kadogo hakuna mfano...
shansarie nakuja kumkuta anauza mgahawa maeneo ya machame..
miss chagga nakuja kumfuma live kwenye kibanda cha airtel money huku anachat jf wakt wateja wamepungua...
Mr Rocky nakuja kuonyeshwa bar za mtaani anakung'uta banana kule moshono maeneo ya masai camp..
Ntunzu kumbe nae ni fundi viatu...
Dena Amsi ni mbunge wa vitu maalum kutoka babati... afu ndo anaitwa mchepuko na mnywa banana....
Evelyn Salt unakuja kumfahamu ni bonge la braza....
a.rahabu ni house girl wa mwalimu kabanga....
Asprini ni kijana mdogo tu mwenye miaka 17 afu mamafacebook ni mbibi mwenye umri wa miaka 80>......
Mtoto halali na hela ni mlinzi...
Elli79 ni dereva bodaboda...
haya ni mawazo yangu tu.... huwa nawaza sana kuhusu hizi keyboard zetu... asilimia kubwa hatufahamiani jamani....
my dear wife wako kafananishwa na Gekuli Paulina yule wa Babati..
wapi
measkron wa hanang'i?
hapa inabidi First Born awaze zaidi...
ha ha ha ha wish to know you...
He he heeeee!! Karibu kwetu huku
umenifurahisha mno eti nauza mgahawa machame na mumewangu anachoma cd lol bora usiendelee kutufaham tu