habari zenu wapendwa,Samahani naomba niwaswalike enyi wanaume hivi mnaposusia chakula nyumbani kisa umepishana kauli na mkeo au mmegombana unaamua kutokula,huwa mnafikiria kukomoa,kuumiza au?,cha ajabu huli nyumbani kwa mda huo lakini kodi ya meza unaacha huoni kama unajiova dozi mwenyewe matumizi yasiyo ya lazima.pia mwanamke uliopo kwenye ndoa na ushawahi kukumbwa na hii kiti,karibuni mnipe mawazo yenu.
Tumeumbwa ili tujaze dunia...nyie mmetokea ubavuni mwetu.
Ndio maana ww unawahi kurudi nyumbani baba hata akichelewa haulizwi ulikuwa wapi
kwa stahili hii itabidi turudi tena beijing,naona haki sawa haipo kbs.
mie kwanza akisusa ndo ananipunguzia kuingia jikoni, nani anataka kunukia vitunguu kila siku! hizo hela anazoacha naenda kujinunulia chips kuku aaah napitia na movie aaah raha jipe mwenyewe!
Huwa hamna haki sawa kwny mahusiano
sipati picha unamtreat vp mkeo ndugu.
habari zenu wapendwa,Samahani naomba niwaswalike enyi wanaume hivi mnaposusia chakula nyumbani kisa umepishana kauli na mkeo au mmegombana unaamua kutokula,huwa mnafikiria kukomoa,kuumiza au?,cha ajabu huli nyumbani kwa mda huo lakini kodi ya meza unaacha huoni kama unajiova dozi mwenyewe matumizi yasiyo ya lazima.pia mwanamke uliopo kwenye ndoa na ushawahi kukumbwa na hii kiti,karibuni mnipe mawazo yenu.
Mmmmmmmmmmmh! JAPO BINADAMU HATOISHI KWA MKATE TU, ILA WENZANGU MDA MWENGINE WANAUME MNAJITUTUMUA KULA CAVIAR WAKATI UWEZO HUNAAA,!!! Khaaaaaaa!
Guest/lodge = 50,000/=
Drinks and food = 30,000/=
Vocha ku coordinate = 3000/=
Condom for responsible = 4000/= ( unatumia branded na flavoured)
Nauli ukimfikiria. = 20,000/=
Jumla =107,000/= PER NIGHT KWA KAZI GANI UNAYOIFANYA MJINI HAPA.???
Hapo. Hujawekza vizingaaaa!

Namtreat vzr sana ila kuna v2 bado anabaki kuwa chini tu hamna haki
basi sawa nimekuelewa baba Boke ila so vzr kususa chakula umesikia lkn.
Mwanamme wa kususa chakula? Sijawahi kuona hadi nimefika hapa.
Umeona ee mpnz sometimes wanaume huwa wanamaudhi,cjui mama zetu waliwezaje kuvumilia.
....Sitaki sasa wewe si unaninyima kwenda CHUMVINI.....jamani dear nini mbaya??? chakula nimeandaa kwa ajiri yako ujue lol
Mbona washangaa mkuu??
Sanaaaa...ulidhani unachepuka peke yako tuu?
kwa stahili hii itabidi turudi tena beijing,naona haki sawa haipo kbs.