Huwa mnanishangaza enyi wanaume

Huwa mnanishangaza enyi wanaume

Aaah wewe nani anataka kuwekewa Sumu? Wanawake wa siku hizi michomoko hawakawii kukuwekea Sumu, Na kuendelea kuacha pesa ya matumizi ni kwendelea kutekeleza wajibu kama baba wa familia!

kama ndo njia ya kukwepa sumu mnajidanganya cz mwanamke n kiumbe mwenye kisasi sana anaweza kukuchekea usoni kumbe moyon ana lake.
 
Sema baadhi ya wanaume, wengine hata kama kuna ugomvi kula msosi home kama kawa.



habari zenu wapendwa,Samahani naomba niwaswalike enyi wanaume hivi mnaposusia chakula nyumbani kisa umepishana kauli na mkeo au mmegombana unaamua kutokula,huwa mnafikiria kukomoa,kuumiza au?,cha ajabu huli nyumbani kwa mda huo lakini kodi ya meza unaacha huoni kama unajiova dozi mwenyewe matumizi yasiyo ya lazima.pia mwanamke uliopo kwenye ndoa na ushawahi kukumbwa na hii kiti,karibuni mnipe mawazo yenu.
 
Last edited by a moderator:
mwanaume akisusa unambembeleza kimahaba lazima ale



Tofautisha kugombezwa na kugombana,unaanzaje kumbembeleza ww unapika kwasbb hata kama mmegombana lzm chakula kipikwe hlf yeye anasusia.
 
Mmmmmmmmmmmh! JAPO BINADAMU HATOISHI KWA MKATE TU, ILA WENZANGU MDA MWENGINE WANAUME MNAJITUTUMUA KULA CAVIAR WAKATI UWEZO HUNAAA,!!! Khaaaaaaa!

Guest/lodge = 50,000/=
Drinks and food = 30,000/=
Vocha ku coordinate = 3000/=
Condom for responsible = 4000/= ( unatumia branded na flavoured)
Nauli ukimfikiria. = 20,000/=
Jumla =107,000/= PER NIGHT KWA KAZI GANI UNAYOIFANYA MJINI HAPA.???
Hapo. Hujawekza vizingaaaa!
hiyo gharama ya 107,000.00 kwa mara moja sio mbaya maana ndani kakataa kunipakulia huku lodge napewa Jicho tu kp bora?
Akisusa mpakulie jicho tu.
 
habari zenu wapendwa,Samahani naomba niwaswalike enyi wanaume hivi mnaposusia chakula nyumbani kisa umepishana kauli na mkeo au mmegombana unaamua kutokula,huwa mnafikiria kukomoa,kuumiza au?,cha ajabu huli nyumbani kwa mda huo lakini kodi ya meza unaacha huoni kama unajiova dozi mwenyewe matumizi yasiyo ya lazima.pia mwanamke uliopo kwenye ndoa na ushawahi kukumbwa na hii kiti,karibuni mnipe mawazo yenu.
kamis kumembelezwa hana lolote changamka
 
kwani kwa mwanaume imehalalishwa na nani??

Tumeumbwa ili tujaze dunia...nyie mmetokea ubavuni mwetu.

Ndio maana ww unawahi kurudi nyumbani baba hata akichelewa haulizwi ulikuwa wapi
 
Back
Top Bottom