Huwa mnanishangaza enyi wanaume

Huwa mnanishangaza enyi wanaume

Jicho tu

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
217
Reaction score
51
Habari zenu wapendwa.

Samahani naomba niwaulize enyi wanaume hivi mnaposusia chakula nyumbani kisa umepishana kauli na mkeo au mmegombana unaamua kutokula, huwa mnafikiria kukomoa, kuumiza au? cha ajabu huli nyumbani kwa mda huo lakini kodi ya meza unaacha huoni kama unajiova dozi mwenyewe matumizi yasiyo ya lazima.

Mwanamke uliopo kwenye ndoa na ushawahi kukumbwa na hii kitu, karibuni mnipe mawazo yenu.
 
Aaah wewe nani anataka kuwekewa Sumu? Wanawake wa siku hizi michomoko hawakawii kukuwekea Sumu, Na kuendelea kuacha pesa ya matumizi ni kwendelea kutekeleza wajibu kama baba wa familia!
 
Ivi hujaskia kuna ke kamng'ata me wake ulimi kwa kumuhisi tu?
 
ukitaka kujua kwamba anataka kubembelezwa, akisusa usipike , af uone....
 
Mmmmmmmmmmmh! JAPO BINADAMU HATOISHI KWA MKATE TU, ILA WENZANGU MDA MWENGINE WANAUME MNAJITUTUMUA KULA CAVIAR WAKATI UWEZO HUNAAA,!!! Khaaaaaaa!

Guest/lodge = 50,000/=
Drinks and food = 30,000/=
Vocha ku coordinate = 3000/=
Condom for responsible = 4000/= ( unatumia branded na flavoured)
Nauli ukimfikiria. = 20,000/=
Jumla =107,000/= PER NIGHT KWA KAZI GANI UNAYOIFANYA MJINI HAPA.???

Hapo. Hujawekza vizingaaaa!
 
Tunakula kwa mchepuko ukirudi hom unalala tu...
 
Back
Top Bottom