Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 760
- 1,417
Signal za kufunga milango ya gari (alarm remote) ni tofauti na zilizondani ya immobiliser system ya funguo na control box. Hivyo it makes sense kwamba wataweza kufungua milango, ila sio kuwasha gari, nakataa.
Sijui sana immobiliser system ya funguo na control box.
Ila Nadhan unajua kuwa hata funguo za gar zina signals.
Sasa hawa wezi huwa wanahangaika kukaa karibu na ww mwenye funguo na wakishapata hizo signal wanatumia hizo devices kuiba gari bila funguo.
Nina gar imetoka japan na ni ya mwaka 2005 na tangu 2012 huwa naiwashaga na remote na sio funguo.
Thus why nikawa interested kufanya utafit kwenye hii ishu.
Kwsababu naamin, kama hiki kiremote kidogo tu, kinafungua milango na kuwasha gar, mtu akikihack, si ndio mchezo umeisha.
So its the same wanafanya kwa IST, wanatafuta frequency signal. Then wakizipata ndio wanatumia kufungua na kuwasha gari.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app