Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

Hii una apply kwa gari zote?
Hata pikipiki wanafanya, ni kwamba ule waya unaocomplete circuitry ya kuwasha gari unakatwa kisha unafanyiwa bypass inayoenda hadi sehemu iliyojificha na ambayo unaijua wewe tu (mfano chini ya dash drawer) ambapo inawekwa switch hapo, kwahiyo bila kufungua ile dash drawer na kubetua ile switch, hakuna namna moto utaenda kwenye ‘Control box’ ya engine, hivyo starter itakuwa inazunguka tu lakini engine haipokei, maana ignition timing yote ipo controlled na ‘control box’, na kwa kuwa ni wezi, hawatakiwa na muda wa kuchomeka diagnostic machine kugundua tatizo lilipo, hivyo watakimbia tu...; infact, hata gari zenye immobiliser (keys /control box) hufanya kazi kwa technique kama hii
 
... au Aston Martin au sio?
Screenshot_20211028_193920.jpg
 
Technologia imekua sana.

Niliwah fanya research isiyo rasmi kuhusu hili.

Findings zangu zimegundua kuwa Wezi weng wanaiba Hizi IST kwa Signal Jamming.

Inakuwa hivi.
kama unafunga gari kwa remote, wanakaa meter kadhaa karibu na ww na wakiwa na device yao(signal jammer) na wanajaribu kublock hizo signal za remote ambazo ww uliyeshuka unaziamrisha kufunga gar.

device inanakili hizo signal . Na kama jammer ikikubali, basi utaona gar hazard lights zinawaka kama gari iko locked kumbe sio.

Na the same signal walizoweza kurecord wakat wanajamm alert yako ya kufunga gar, wanatumia device yao nyingine ambayo iko kama game playboy na kuwash gari lako.

Na ndio hivyo gari umeibiwa.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
gari nyingi za kijapani zina mifumo rahisi kuwasha na kumanuva malock ya milango, ukitoa ign ukaunga waya twend, za europe zinakataa very complicated... nyingine ameongeza mdau juu hapo, soko la spea za gari za kijapani ni rahisi ukifananisha na VW, Benz, BMW, Audi nk...
In short hakuna gari ngumu kuibwa, whether ni magari ya europeans,japanese or whatever.Kikubwa ni mtu kupaki gari mahali salama sababu hata alarm ni useless linapokuja swala la wezi ambao ni advanced ndo maana car parking nyingi sana kwenye nchi za wenzetu wanatumia advanced sensors kuweza kugundua mtu anayejaribu ku-unlock magari kwa njia zisizo halali.
 
Dawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako
Kuna video sema nilishaifutaga kitambo vinginevyo ningeiatach hapa; upo wizi wa gari yako inavuliwa kila kitu hapohapo parking kwako wanakuachia chesis tu juu ya mawe mpaka tairi wanabeba.

Wizi huu hutumia dawa za kuwalewesha ili mlale usingizi wapono huko nje wanaume wakiendelea na uchenjuaji wa gari yako
 
In short hakuna gari ngumu kuibwa, whether ni magari ya europeans,japanese or whatever.Kikubwa ni mtu kupaki gari mahali salama sababu hata alarm ni useless linapokuja swala la wezi ambao ni advanced ndo maana car parking nyingi sana kwenye nchi za wenzetu wanatumia advanced sensors kuweza kugundua mtu anayejaribu ku-unlock magari kwa njia zisizo halali.
Dawa ni kununua Brevis tu 😂😂😂, ukiiba hata spea sijui unamuuzia nani, mfano engine, mafuta 30,000/= kwa siku 😂🇹🇿🇹🇿😂😂😂
 
Back
Top Bottom