Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
Vitali Maembe, msanii kutoka Bagamoyo kwenye huu wimbo anasema ukiona watu wameweka majamvi, ujue wameshafiwa.
Na aliyekufa hakufa kwa ugonjwa bali aliuawa.
Anauliza iko wapi Tanzania tuliyokuwa tunajivunia?
Na aliyekufa hakufa kwa ugonjwa bali aliuawa.
Anauliza iko wapi Tanzania tuliyokuwa tunajivunia?