Mkutano wa injili wa mwamposa waingiliwa na ccm watu wanaondoka mda huu

mpwayungu village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
6,775
10,126
Tupo hapa kigamboni kwenye mkutano wa mwamposa Kosa kubwa alilolifanya muhubiri ambaye pia ni msaidizi wa ukaribu wa mwamposa ni kumpa mic huyu mkuu wa wilaya wa kigamboni.

Sasa mkuu wa wilaya kaanza kuwatambulisha watu wa CCM huku akimwaga Sera za ccm kuwa mama anaupiga mwingi.

Anasema Nani kama mama Samia. Watu wameanza kuondoka taratibu hata mimi nimetema mate chini nimeamua kuondoka kwenye huu mkutano wa kinafiki kwa mwanvuli wa injili.

Mwamposa hapa umeanza kuharibu, kitendo cha kuwapa viongozi wa kisiasa hawa wa CCM kuanza kupiga promo za kisiasa mbali na tukio lililopangwa huo ni uhuni.

Waende wakasikilize mahibili au aongee maswala ya Mungu sio kuleta maupumbavu kwenye sehemu za kidini
 
Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
12,587
9,450

Amekosea kuchanganya siasa na imani.

Wengi walikwamia hapo nina ushahidi
 
one b

JF-Expert Member
Jun 30, 2017
765
1,790
Hawana iman na mteule wa Rais....wana iman na mwamposa...hii nchi ngum sana...hapa nasubiri scandal yyte tu..kuzima mijadala ya tozo...soon watatuletea igizo...
 
Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
9,405
19,875
Huyo kaja kuhamasisha sensa na timu yake,sasa kama kapewa mic anachomekea mambo yake ya Samia anaupiga mwingi kosa la Mwamposa ni lipi?
Viongozi wenyewe ndio wanapenda Uchawa,badala waseme serikali ndio imepanga mipango ya Sensa,wanasema Samia.
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom