Huu upweke huu

Huu upweke huu

aisee pole sana ndugu mbona parokiani kutakuwa kumepoa sana kama mlisha kondoo ndio uko hvo? ebu kuwa excited bas loo!
 
images
images
images
images

Yaani basi tu ...........!!!!!!!

Leo kazi haziendi kabisa........

Sijui nikalale????

Damn ...........!!!!!!

Hii imenigusa moja kwa mmoja.upweke mbaya sana, nibora kuwa namke sijuwi inasasidia ?
 
aisee pole sana ndugu mbona parokiani kutakuwa kumepoa sana kama mlisha kondoo ndio uko hvo? ebu kuwa excited bas loo!

Manka hebu msaidie baba paroko kuwa excited aisee!!!!!!
 
Hii imenigusa moja kwa mmoja.upweke mbaya sana, nibora kuwa namke sijuwi inasasidia ?

Wanaweza kusaidia kama sio pasua kichwa
Wengine unaweza kuwa nao badala ya kukusaidia ndio wanaongeza tatizo ....!!!!!!!!
 
Baba paroko nakusubiri parokiani,mda wa kuimba mapambio ushafika...
 
Ba Paroko kumbe we ni mdhungu teh teh teh!!!!!!!!!!!!!
 
unawaza nini maisha yenyewe mafupi, you need to be happy no matter what....
 
Back
Top Bottom