Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Unasemaaaaa!!!!!!!!!
Kuna mmoja ameniambia eti ka smart foni kake kamedondokea kwenye mchuzi wa li pilau la Maulid
Ngoja nikague nikimuona atanitambua!!!!!
Kakublock kwa muda mkuu...
Unasemaaaaa!!!!!!!!!
Kuna mmoja ameniambia eti ka smart foni kake kamedondokea kwenye mchuzi wa li pilau la Maulid
Ngoja nikague nikimuona atanitambua!!!!!
Yaani hawa watu sijui wako wapi ....!!!!!!!
Basi usiseme ....
Sawa bibie???
Unanitamanisha ujue ......
Mkuu angalia usije nisababisha nijinyonge na kamasi ....!!!!!!!
Ada ya nani tena jamani ....????
Wataka nikuambie nilipo au ....???
Ebu njoo tuongee kwani Heineken ni pombe?
Yaani wewe hata huruma huna ....!!!!!!!