Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Ngoja aisome maana siku hizi parokia anaipeleka anavyotaka yeye hataki kushauriwa kisa waumini wako wengi!!
Niwahamishie kwangu eeh?
Ngoja aisome maana siku hizi parokia anaipeleka anavyotaka yeye hataki kushauriwa kisa waumini wako wengi!!
Huu mziki utaumaliza mwenyewe .....!!!!!!!
Safi sana mtoto mzuri!!!!!!
Tumeshapanga naye mipango ya kutoa upweke.....
Just wait n see
Niwahamishie kwangu eeh?
Ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaa ......!!!!!!!!!!!!!!
Umeishiwa wewe !!!!!!!!!!!
Ngoja tu .......
We si unajidai mjanja tutaonana .....!!!!!