Eiyer pokea salamu zangu za pole kwa upweke japo sina uhakika kama zitasaidia sana ila POLE
salama mkuu?
ya rangi ya shaba sio....ahadi ni deniAisee mkuu unakunywaga maji??
Kama unakunywaga nidai ndoo moja kwa kusema ukweli ulio uch.i ....lol!!!!!!!!
Ewaaa..ngoja nianze mapema leo
ewaaaaaaah!