Kweli kabisa akikutana na ubavu wake maneno yote yataisha aisee. Hapo ndipo penye shida wanaume wanaona wanawake pasua kichwa na wanawake wana mtazamo huo huo sijui kama hawa vijana watafika waendako wakati mwingine inafaa kujilipua tu liwalo na liwe lkn at your own risk.
Poa, Mentor mzima weye?
Naona wanasuasua tu ...!!!!!!!
Unajua kaka wengi hawataki kusikia huo upande wa pili hata ukiwaambia hawaamini wanafikiri unawadanganya kumbe si kweli. Shetani kawatia upofu na kuwafunulia negative side only. Yapo makosa ya msingi mengi unaweza kuyaona unapoamua kuzichunguza hizo ndoa zilizo fail ingawa si zote. Huyu Mungu ninayemuamini najua hajabadilika hivyo wampe nafac yeye atatenda tu. Na wengi wanaamini ukimpata mtu ni lazima awe kama malaika ie asiwe na mapungufu hata kidogo wanasahau Upendo wa kweli hufunika yote na unakuwezesha kuchukuliana.Inavyoelekea kila akikutana na mtu inakuwa ni majanga ni shidaa na hajawahi kukutana na true love kutoka kwa hao wanaomwambia wanampenda na ndo maana amekuwa na hizo attitude za kuwachukia kila mara
Muhimu ni kumpata mtu ambaye ana real love na anajua thamani ya pendo lako kwake na anayejua nini maana ya kupenda na nini maana ya kuumizwa kwenye mapenzi
Ndoa ni nzuri sana pale unapompata yule ambaye mnasikilizana na mnaelewana na yule ambaye yuko tayari msolve matatizo yenu kabla giza halijaingia na ambaye ana hofu ya Mungu ndani yake
Ndoa sio ngumu kihivyo na vijana wanaogopa kwa kuwa wanayoyasikia kutoka kwa watu kama Eiyer ni mabaya tuu kuhusu ndoa na hawajawahi sikia another side of the story kuwa ndoa ikoje
We kila siku ni majanga
Au ushageukia kwa akina Alshababb kila siku unatafutwa mtaani
Zimefika aise na wewe wasalimie sana huko
nenda Pale Mwembeni nitumie ujumbe nikutumie
jembe huna unapewaje kitalu sasa?
nani anataka kilimo cha msimu?????
U hali gani shemeji?
Unajua kaka wengi hawataki kusikia huo upande wa pili hata ukiwaambia hawaamini wanafikiri unawadanganya kumbe si kweli. Shetani kawatia upofu na kuwafunulia negative side only. Yapo makosa ya msingi mengi unaweza kuyaona unapoamua kuzichunguza hizo ndoa zilizo fail ingawa si zote. Huyu Mungu ninayemuamini najua hajabadilika hivyo wampe nafac yeye atatenda tu. Na wengi wanaamini ukimpata mtu ni lazima awe kama malaika ie asiwe na mapungufu hata kidogo wanasahau Upendo wa kweli hufunika yote na unakuwezesha kuchukuliana.
Taarifa hizi zimfikie shemeji yako popote pale alipo!!!!
Kaka we acha tu. Ila kwa sasa mambo sio mabaya kwa kweli. Ngoja nifanye mchakato
Mie mzima sana!
Nina mzigo wako, sijui nakupataje nikupe!??
ahahahhahhaa mbn umenisalimia kwa unyonge hvo shem wangu?mi niko pooooooowwer!
tatizo hujatulia unaruka ruka kama pia ndo maana yanakupata hayo
angalia bana usije kuwa member wa akina alshabab tukakukosa
Hahahaahah kwa kweli sasa mambo sio kama zamani. Huko kwa hao jamaa sitafika abadani
Mkuu Mentor nuore isanduku limwi la bia siku yoo uanza iramia shikao sha ialika
Hapo pazuri sana mkuu
Mzigo gani? Na unatoka wapi?