Huu unaweza kuwa upendo wa dhati?

Huu unaweza kuwa upendo wa dhati?

Nakwambia huyo msichana hata ukioana nae lazima ujue utachapiwa tu na wenye hela zao maana anataka maisha ambayo wewe huyawezi kwa sasa.....
Na usipochagua njia sahihi utakuja humu unalia kama chizi
...hizi dharau rafiki ako kabisa alafu unasemaje?[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nimekupata mkuu
 
We kweli kichwa maji! Bora uiingie chimbo utafute mgoloko kuliko huyo pasua kichwa
 
Mi nakushauri kama unavyotaka,endelea nae mkuu mfanye maisha..niokoo!
 
Naomba audio ya dogo janja akiharibu hewa tena kwa style zake za kutongoza kikishimundu
 
Dear love ya ku cheat ? Mhhh , uuhhh No love hapo .. Please kapime afya yako first and then achana na huyo mdada .. Huyo sio a good wife to be but she is materialism ..... I'm sorry to say that she is not the one.. Move on please.. Thanks..
 
Ndg wanajamvi wasalaaam.
nimekuja kwenu labda naweza kupata mawazo ili mnitoe kwenye dilema niliyopo.
Nimekuwa kwenye mahusiano na mrembo wangu flan kwa zaidi ya miezi 18 ila baada ya hapo akakengeuka kdg akafikia hatua ya kutembea ya rafiki yangu mmoja ambaye wamefahamiana kupitia mimi.
Ilikuwa kama ananipush sana mambo ya kuoana na kufanya mambo ya maendeleo ambayo yalikuwa si rahisi kuyatimiza kwa jinsi alivyokuwa anataka (ndani ya muda mfupi).. mara tunune ploti halafu tujenge ,mara we mbn hufanyi biashara, mara oo ni muda wa kubadili gari sasa n.k,
Nahisi alikuwa analalamika kwa rafiki yangu mpaka wakafikia hatua ya kuwa wapenzi., baadaye nikajua na yeye hakunificha akahamia kabisa geto kwa mshikaji.., kwa kuwa mshikaj naye mambo yalikuwa si mazuri sana akawa anapiga tu na hakuna mabadiliko saaana au niseme hakuna tofauti saaana na kwangu, zaidi aligundua tu kuwa zile outing na birthday cakea ndo zilikuwa hazionekani kama alivyokuwa kazoea kwangu.
Sasa amerudi anasema kajuta na anasema yupo tayar tufanye mipango ya maisha pamoja, kwa kuwa nilikuwa nampenda na kumwonea wivu nikawa kama na hold lakini nikiendelea kupiga.
Nimejikuta nimesharudiana naye bila hata ya commitment zinazoeleweka.
kwa sasa naona tumerudia hali ya awali ya kulalamikiana. Mmoja anishauri kama inafaa kweli niendelee na huyu mpenzi wangu au nimtelejeze tu niwe na amani maishani
Ebo kuna wanaume ni jina tu, yaani mtu katifuliwa na jamaaa ako kabisa halafu nawe umepiga tena,unataka ushauli gani sa, omba ushul b4 act, acha hayo mambo ya kiboya na kututesit kama wajinga bwana.
 
Dear love ya ku cheat ? Mhhh , uuhhh No love hapo .. Please kapime afya yako first and then achana na huyo mdada .. Huyo sio a good wife to be but she is materialism ..... I'm sorry to say that she is not the one.. Move on please.. Thanks..
Asante sana... umekuwa honest
 
aaaaaghhhhh kaenda kwa mshikaji wako kahamia kamkojolea weeee umekuja kupiga wewe tena ha hahah soon atarudi kwa mshikaji wako ......... kweli wanaume mmebaki wachache aisee ..............

miaka 18 mnajenga nini? aiseee aiseee ukiishiwa tu anaenda kwa mshikaji tena
 
Back
Top Bottom