KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,447
- Thread starter
- #61
Ndugu wanajamvi naona wengine watanitafuta physically wanipige vichwa kwa ajili ya hili suala la kiboya kuwahi kutokea.
Kiukwel kabisaaaa hili suala limemtokea mtu na lipo, na jamaa anahadithia bila tatizo lolote na picha za huyu demu wake anatuonyesha kabisa.
Ni kama kaka kazini. Nimeanza kazi nimemkuta na haya ndo malalamiko yake. Kwa mara ya kwanza aliponihadithia nlijikuta nimetoa tusi 'we kweli msenge'
Tulikuwa watatu wakaniandama kweli kuwa nina dharau likawafikia wengine hapo ofsini kuwa sijui nina dharau/sina heshima. Nilishangaa sana kuona wenzangu hata hawashangazwi wala kuguswa na suala la msela wetu.
Nikajiona mkosaji sana kutukana siku ya kwanza maana nliandamwa sana. Ndo maana nikalileta hapa ili nipate mtazamo wa walio wengi. Nikiamini kuwa nyuma ya IDs watu wanasema ukweli zaidi kuliko live mbele ya mshkaji.
Mimi nipo pamoja na wakupiga kibao mpaka aacha ufala, ila kuvuta korodani hapana maana hapa tutakuwa hatujajenga ila tumebomoa.
Asante sana kunionyesha kuwa nipo sawa kutukana