miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
niwakuvuta korordani huyu awe hanisi tu ...... labda ni upendoningekuwa karibu na ww mtoa mada ningekuzaba kofi mpaka ungetaja jina la utani la babu yake kinjektile ngwale
niwakuvuta korordani huyu awe hanisi tu ...... labda ni upendoningekuwa karibu na ww mtoa mada ningekuzaba kofi mpaka ungetaja jina la utani la babu yake kinjektile ngwale
mbaya zaidi alihamia geto kwa rafiki yakeDaah wanaume bhana nanyi mna roho ngumu!mtu kakuacha na kudate na rafiki yko but still unarudiana naye kiroho safi na huku unaomba ushauri ili tukujuze km dem anakupenda au la [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ishi na marafiki zako kwa AKILI, MAARIFA na HEKIMA. Huyo mwanamke hana maan kwako tena.Ndg wanajamvi wasalaaam.
nimekuja kwenu labda naweza kupata mawazo ili mnitoe kwenye dilema niliyopo.
Nimekuwa kwenye mahusiano na mrembo wangu flan kwa zaidi ya miezi 18 ila baada ya hapo akakengeuka kdg akafikia hatua ya kutembea ya rafiki yangu mmoja ambaye wamefahamiana kupitia mimi.
Ilikuwa kama ananipush sana mambo ya kuoana na kufanya mambo ya maendeleo ambayo yalikuwa si rahisi kuyatimiza kwa jinsi alivyokuwa anataka (ndani ya muda mfupi).. mara tunune ploti halafu tujenge ,mara we mbn hufanyi biashara, mara oo ni muda wa kubadili gari sasa n.k,
Nahisi alikuwa analalamika kwa rafiki yangu mpaka wakafikia hatua ya kuwa wapenzi., baadaye nikajua na yeye hakunificha akahamia kabisa geto kwa mshikaji.., kwa kuwa mshikaj naye mambo yalikuwa si mazuri sana akawa anapiga tu na hakuna mabadiliko saaana au niseme hakuna tofauti saaana na kwangu, zaidi aligundua tu kuwa zile outing na birthday cakea ndo zilikuwa hazionekani kama alivyokuwa kazoea kwangu.
Sasa amerudi anasema kajuta na anasema yupo tayar tufanye mipango ya maisha pamoja, kwa kuwa nilikuwa nampenda na kumwonea wivu nikawa kama na hold lakini nikiendelea kupiga.
Nimejikuta nimesharudiana naye bila hata ya commitment zinazoeleweka.
kwa sasa naona tumerudia hali ya awali ya kulalamikiana. Mmoja anishauri kama inafaa kweli niendelee na huyu mpenzi wangu au nimtelejeze tu niwe na amani maishani
kwa kosa la kushare mbunye na rafiki yako... .. bora angeenda kugongwa na watu wengine huko akarudi kwako ila si mshikaji wakoWewe miss chagga wewe....., niwe hanisi kabisa jaman... kwa kosa lipi
hata nikipata yupi sasa atakuwa kashakojolewa alipotoka... so siyo ishu.... hapa cha maana nikupata aliye na future na mmaaaaaghhhhh kaenda kwa mshikaji wako kahamia kamkojolea weeee umekuja kupiga wewe tena ha hahah soon atarudi kwa mshikaji wako ......... kweli wanaume mmebaki wachache aisee ..............
miaka 18 mnajenga nini? aiseee aiseee ukiishiwa tu anaenda kwa mshikaji tena
ha hahaha basi mkuu fanya hivi huyo mwanamke yupo kwenye material zaidi na hana upendo wa kweli kwako na ukifilisika kidogo tu anarudisha mzigo kwa mshikaji wako... kwanza hana adabu, hna aibu, ajiheshimu overNdo maana nimekuja hapa.... nikiamini watu kama wewe mtanipa mawazo ya kujenga siyo ya kuvutana nanilihii
mkuu bora aliyekojolewa hukooooo kuliko aliyetika kwako akaipeleka kwa rafiki yako kaipiga weee halafu karudisha kwako aiseee think big .. huyo ukioa ataigawa hadi kwa ndugu zako elimradi awe na pesa tu ..hata nikipata yupi sasa atakuwa kashakojolewa alipotoka... so siyo ishu.... hapa cha maana nikupata aliye na future na mm
Dogo kweli utakua n tatizo...m2 agawe mbunye kwa best halafu arudi tena kwako...unadai ishu ni kupata future kwa style hiyo utaishia kulialia 2..ushauri wa miss chagga kukuvuta korodani ndio sahihi mana hujielewi au wewe ni domo zege huwezi tafuta mwingnehata nikipata yupi sasa atakuwa kashakojolewa alipotoka... so siyo ishu.... hapa cha maana nikupata aliye na future na mm
kwa kosa la kushare mbunye na rafiki yako... .. bora angeenda kugongwa na watu wengine huko akarudi kwako ila si mshikaji wako
wewe hii ndo namna ya kumsaidia mtu kweliMkuu KORBOTO achana na huu ushauri wa huyu dada, mimi naona wewe una upendo wa dhati kwa huyo demu wako na kwa rafiki yako pia.
Maana wewe huoni shida demu wako kutembea na mshkaji then akarudi kwako, na hata akichepuka na mshkaji siku nyingine itakuwa powa tu.
Ukipata mwanamke anayewapenda wewe na rafiki yako (na anawapa wote) na wewe ukakubaliana naye usimwache huyo.
wewe hii ndo namna ya kumsaidia mtu kweli
ha hahaha siamini .. basi sawaMkuu KORBOTO achana na huu ushauri wa huyu dada, mimi naona wewe una upendo wa dhati kwa huyo demu wako na kwa rafiki yako pia.
Maana wewe huoni shida demu wako kutembea na mshkaji then akarudi kwako, na hata akichepuka na mshkaji siku nyingine itakuwa powa tu.
Ukipata mwanamke anayewapenda wewe na rafiki yako (na anawapa wote) na wewe ukakubaliana naye usimwache huyo.