Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,798
- 4,856
Toa andiko mkuu.........Mtumishi wa Mungu analindwa na Mungu mwenyewe na sio binadamu
tehe tehe tehe huyu jamaaMimi ananifurahishaga tu anavyotamka Daudi Albert Bashite almaarufu kama Paul Makonda.
tehe tehe tehe wapenda ubuyu wa moto wote wanajaa kwa gwajima, hadi waislamu wanasema eti haina shida Mungu ni mmoja tu, kumbe wafuata ubuyuHiyo siku ya kutua hapa kutua pale jamani nilicheekaaa, itabidi jumapili ijayo niende tu ufufuo na uzima
Papa ni Rais wa Vatcan, ni askofu Mkuu wa Roma na ni kiongozi wa kanisa katoliki duniani lenye waamini zaidi ya billion mbili anastahili ulinzi mkubwa ukizingatia Papa John Paul II (sasa mtakatifu) aliwahi kupigwa risasi na magaidihushangai papa kutembea ndani ya gari "bomb proof"
Unahukumu kwamba he is not a servant of God kwa issue ya ulinzi tu!!!!!! Huu ni upuuzi wa Hali ya juu. Unataka wasilindwe??? Mbona papa analindwa sana na hata gari yake hailipuliwi na bomu????Gwajima ni hearthen ,kwa hiyo sishangai.He is not a servant of God.Mtu wa Mungu analindwa na Mungu.Ulinzi anaotumia unaonyesha wazi kwamba hamuamini Mungu.Ni miongoni mwa wale wanaosita sita.
[emoji23][emoji23][emoji23]wanasema eti Mungu ni wetu sootetehe tehe tehe wapenda ubuyu wa moto wote wanajaa kwa gwajima, hadi waislamu wanasema eti haina shida Mungu ni mmoja tu, kumbe wafuata ubuyu
very poor justification,nchi yenye watu 800!!!!Papa ni Rais wa Vatcan, ni askofu Mkuu wa Roma na ni kiongozi wa kanisa katoliki duniani lenye waamini zaidi ya billion mbili anastahili ulinzi mkubwa ukizingatia Papa John Paul II (sasa mtakatifu) aliwahi kupigwa risasi na magaidi
I wish watu wote wangekuwa na upeo kama kwako,ila wengi tunahadaika na umbo la nje wakati la ndani ni siri yaoUzuri wa hii nchi hakuna aneuza ngada ila mtaani ipo inauzwa kila anaeambiwa anauza inaonekana hauzi kwasababu ni mtu mwenye hadhi.
Kwahiyo mnafikiri Ngada inauzwa na malofa mtaani.
Usijefikiri utamkuta drug lord na drug ila punda wake unaweza kuwakamata kwahiyo chakufanya ni kuwaharass watalalamika na watalia Sana ila Watapunguza au kuacha Kwa hofu ya kuwa wanajulikana
Only fools are being fooled na GwajimaTena huu cha mtoto. Wenzie wanaajiri Navy Seals waliostaafu sembuse hawa Koromije wenzie. Madawa ni biashara ya laana na iliyojaa wasiwasi 24/7 na kifo kiko nje nje. Huyu hata anavyoongea na mamisukule yake kila Jumapili unaweza kuona kabisa jinsi asivyo na amani. Tapeli la karne...na mwisho wake utafika tu! He cannot fool the people all the time...
Then waumini wake wamechakaa!!Leo wakati akitinga clouds ameonekana akiwa na ulinzi mkali sana ambao kwa kiongozi Wa dini unatia shakaView attachment 484991
Huna cheti Bashite? Nimekuambia anaongoza waamini zaidi ya Bilion mbili kote dunian na nimekuambia mtangulizi wake aliwahi kupigwa risasi na gaidi kama wewevery poor justification,nchi yenye watu 800!!!!