bongo man
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,053
- 2,329
Tumteue awe waziri wa mitandaoYuko busy na bilioni 20
Tumteue awe waziri wa mitandaoYuko busy na bilioni 20
Kwanza Dorothy ni daktari kitaaluma, uongozi anauweza sana.Ataweza kumfunika Ummy?Nimeona kama Ummy wamempotezea sana.
Swali zuri. Kujadili watu ni dalili ya umbea kama siyo kukosa kazi au mambo ya kujadili.Hata wakijadili watabadilisha nini!
Bahasha haina maana kama barua umeshaisoma.Naona mama kairuki nae kapigwa chini
Hawana uhusiano kabisaHuyu ndaki ana undugu na aliyekuwa kamishna wa elimu marehemu Alexander Ndaki muiraqwi wa dongobeshi huko mbulu?
Mzee huenda kaichoka ile mambo.Naona mama kairuki nae kapigwa chini
Ok, marehemu alikuwa anaitwa ndeki nimekumbukaH
Hawana uhusiano kabisa
Duuh naona wametuzidi wamasai; maana sisi tunao wawili;Kabineti ina wanyiramba watatu kwa maana hiyo?
Dorothy
Kitila
Lameck
, hatari sanaMzee huenda kaichoka ile mambo.
Kwa sasa ni kama shombo tu.
Amekuwa mtumba uliochakaa.
Awaache mabinti wengine nao wafaidi vya mzee.
Sio kweli mkuu ,kuna jamaa ana namba moja kwaajili ya magroup tu yapo kama mia hivi ,ukimkuta busy na simu kama humjui unaweza kumuona kama mtumwa wa mitandao kumbe mwenzako ndio anaingiza miamala uko kwa magrupuGrp 10 si ishara nzur ya mwenendo wa maisha yako mkuu...jitafakar chkua hatua
Inaonyesha uko irresponsible
Hata lile bif lake na mstaarabu Makamba lilikuwa la kishamba tu! Ikawa ni kama alikuwa anajaribu kumgonganisha Makamba na mkulu! Utendaji wake umejaa maneno meengi wakati kiukweli wizara ipo taabani!Dogo alianza uwaziri kishamba sana. Mnakumbuka kipindi Ni waziri mdogo wa afya alishawahi kufunga geti ili waliochelewa wausiingie ofisini. Katika akili yake hajui kwamba Kuna wamama Wana watoto na lazima nyumbani aweke mazingira mazuri ndio aondoke wakati anakaa matosa kusiko na usafiri.
Mnakumbuka alivyowapigisha push up wazee wa watu wenye wajukuu. Tena hadharani mbele ya vyombo vya habari. The guy is just too primitive.
watu mna misemoBahasha haina maana kama barua umeshaisoma.
Hivi umjadili kabudi,mwigulu,mipango,lukuvi etc,si utakua utopolo kiwango cha ccm awamu ya 5Habari kuu jioni ya leo ni Baraza jipya, nipo group kama 10 hivi wosap, ajabu watu wame mute wapo kimya hawapo busy kujadili lolote! Hata hivyo miaka ya hivi karibuni wemepunguza ama kujitoa.Nipeni uzoefu kwenu huko.
Huyu ndaki ana undugu na aliyekuwa kamishna wa elimu marehemu Alexander Ndaki muiraqwi wa dongobeshi huko mbulu?
Sisi kidogo tumemjadili Dr Gwajima maana wizara yake ndio ilipo taaluma yetu.Habari kuu jioni ya leo ni Baraza jipya, nipo group kama 10 hivi wosap, ajabu watu wame mute wapo kimya hawapo busy kujadili lolote! Hata hivyo miaka ya hivi karibuni wemepunguza ama kujitoa.Nipeni uzoefu kwenu huko.
Hata idiot umempendelea zaidi he is an @$$hooleUkimuita primitive utakuwa umempendelea, he is an idiot
Mkuu sibonike umepotea sanaKabineti ina wanyiramba watatu kwa maana hiyo?
Dorothy
Kitila
Lameck
Maoni yako please kwa nini Jiwe kamtosa Angela? Usipapase maneno kuwa confident na unijibu hakuna akujuae humu. Wewe ni Mwanaume.Duuh naona wametuzidi wamasai; maana sisi tunao wawili;
Ole nasha na Dr. Mollel.