Cliffhanger
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 721
- 1,292
Grp 10 si ishara nzur ya mwenendo wa maisha yako mkuu...jitafakar chkua hatua
Inaonyesha uko irresponsible
Utani wa kweli!
Grp 10 si ishara nzur ya mwenendo wa maisha yako mkuu...jitafakar chkua hatua
Inaonyesha uko irresponsible
Mkuu nilishacorrect post #29Yule alikuwa anaitwa Alexander Ndeki siyo Ndaki.
Wasukuma tuna wangapi.Duuh naona wametuzidi wamasai; maana sisi tunao wawili;
Ole nasha na Dr. Mollel.
ukitaka kujadili siasa serious, njoo jukwaa la siasa jf ukutane na wabobezi wana bodi kinaHabari kuu jioni ya leo ni Baraza jipya, nipo group kama 10 hivi wosap, ajabu watu wame mute wapo kimya hawapo busy kujadili lolote! Hata hivyo miaka ya hivi karibuni wemepunguza ama kujitoa.Nipeni uzoefu kwenu huko.
Net worth yako inafikia kihasi gani hivi??Grp 10 si ishara nzur ya mwenendo wa maisha yako mkuu...jitafakar chkua hatua
Inaonyesha uko irresponsible
Inakuwa ni uchafu auBahasha haina maana kama barua umeshaisoma.
Hata kingwalangwala humjui?Mimi sijui hata nianzie wapi, maana wote hao waliopata uwaziri / unaibu waziri na waliotemwa hata siwajui kiundani.
Ila wa Baraza jipya utawajua tu.Huyo Kingwangala simjui mkuu.Shida yangu ni kutofuatilia mishe za wanasiasa wa bongo kwa sababu naona kama wananipotezea muda tuu.
Ngoja mkuu nione utendaji wao, ndiyo nitawafuatilia na kuwajua.Nawapa siku 100 wanioneshe ujembe wao.Vinginevyo nitarudi kule kule nilikokuwa (kuwapotezea na kuendelea na 50 zangu).Ila wa Baraza jipya utawajua tu.
Hasa wale wapya. Ni majembe
Lakn kutoka pale ndipo alipanda juu zaidi, may be alitakiwa kufanya zaidi ya pale ili asipigwe chini. Mm nafkiri kujiexpose zaidi mitandaoni imemcost, ishu ya moo na mambo ya kujipost akiwa kwa waganga anajifukizia to me was worstDogo alianza uwaziri kishamba sana. Mnakumbuka kipindi Ni waziri mdogo wa afya alishawahi kufunga geti ili waliochelewa wausiingie ofisini. Katika akili yake hajui kwamba Kuna wamama Wana watoto na lazima nyumbani aweke mazingira mazuri ndio aondoke wakati anakaa matosa kusiko na usafiri.
Mnakumbuka alivyowapigisha push up wazee wa watu wenye wajukuu. Tena hadharani mbele ya vyombo vya habari. The guy is just too primitive.
HK siyo mnyamwezi, ni ngosha. Watu wengi wanafikiri watu wote wa Tabora ni wanyamwezi. Wanyamwezi kwa Mkoa wa tabora ni chini ya 50%, wengi ni wasukuma ambao wamejaa igunga, nzega, uyui, kaliua na baadhi ya maeneo ya Urambo na sikonge(hasa maporini). Wanyamwezi wapo tabora mjini, uyui, sikonge na Urambo tu.Nawapenda sana shemeji zangu wanyamwezi maana wamenipa jiko la nguvu. Pisi Kali kweli kweli. Ila nadhani HK sio mnyamwezi. Hana Ile busara ya kinyamwezi. Nadhani ana DNA za Burundi. Mnyamwezi piwa hawezi kua hivi.
Sijui bado anampango na yule mkuu wa wilaya aliyemuumbua?Lakn kutoka pale ndipo alipanda juu zaidi, may be alitakiwa kufanya zaidi ya pale ili asipigwe chini. Mm nafkiri kujiexpose zaidi mitandaoni imemcost, ishu ya moo na mambo ya kujipost akiwa kwa waganga anajifukizia to me was worst
Afadhali sio mnyamwezi. Nilishaanza kumchukia wifeHK siyo mnyamwezi, ni ngosha. Watu wengi wanafikiri watu wote wa Tabora ni wanyamwezi. Wanyamwezi kwa Mkoa wa tabora ni chini ya 50%, wengi ni wasukuma ambao wamejaa igunga, nzega, uyui, kaliua na baadhi ya maeneo ya Urambo na sikonge(hasa maporini). Wanyamwezi wapo tabora mjini, uyui, sikonge na Urambo tu.
DC yupiSijui bado anampango na yule mkuu wa wilaya aliyemuumbua?