Huu ukimya kujadili baraza jipya WhatsApp kulikoni?

Unasema grp 10 hawajadili! sema hatujadili pamoja na wewe,au hua unasubiri wenzako wajadili jambo kisha wewe uwe msomaji tuu?


Halafu kwanini usiwaulize huko huko kwenye hayo magroup maana wao watakua na majibu yakueleweka kuliko sisi ambao hatupo huko kwenye hayo magroup.
 
Grp 10 si ishara nzur ya mwenendo wa maisha yako mkuu...jitafakar chkua hatua

Inaonyesha uko irresponsible
Sio kweli mkuu ,kuna jamaa ana namba moja kwaajili ya magroup tu yapo kama mia hivi ,ukimkuta busy na simu kama humjui unaweza kumuona kama mtumwa wa mitandao kumbe mwenzako ndio anaingiza miamala uko kwa magrupu
 
Dogo alianza uwaziri kishamba sana. Mnakumbuka kipindi Ni waziri mdogo wa afya alishawahi kufunga geti ili waliochelewa wausiingie ofisini. Katika akili yake hajui kwamba Kuna wamama Wana watoto na lazima nyumbani aweke mazingira mazuri ndio aondoke wakati anakaa matosa kusiko na usafiri.

Mnakumbuka alivyowapigisha push up wazee wa watu wenye wajukuu. Tena hadharani mbele ya vyombo vya habari. The guy is just too primitive.
Hata lile bif lake na mstaarabu Makamba lilikuwa la kishamba tu! Ikawa ni kama alikuwa anajaribu kumgonganisha Makamba na mkulu! Utendaji wake umejaa maneno meengi wakati kiukweli wizara ipo taabani!
 
Habari kuu jioni ya leo ni Baraza jipya, nipo group kama 10 hivi wosap, ajabu watu wame mute wapo kimya hawapo busy kujadili lolote! Hata hivyo miaka ya hivi karibuni wemepunguza ama kujitoa.Nipeni uzoefu kwenu huko.
Hivi umjadili kabudi,mwigulu,mipango,lukuvi etc,si utakua utopolo kiwango cha ccm awamu ya 5
 
Habari kuu jioni ya leo ni Baraza jipya, nipo group kama 10 hivi wosap, ajabu watu wame mute wapo kimya hawapo busy kujadili lolote! Hata hivyo miaka ya hivi karibuni wemepunguza ama kujitoa.Nipeni uzoefu kwenu huko.
Sisi kidogo tumemjadili Dr Gwajima maana wizara yake ndio ilipo taaluma yetu.
 
Back
Top Bottom