Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Unamtombam?
 
Mmmmh
Hicho ulichofanya ni nini.. Nimefikiria nani iiiii...

Au nani iiiiii

Kapiga simu mbele yako makusudi.. Kuna kitu anataka ufanye au wakudake.. Wana mpango..

Sema tatizo
 
Shida haswa ni nini mkuu, mbona haieleweki? Weka wazi upate ushauri, dunia hii watu wamekutana na mitihani mingi, sidhani kama hili la kwako ni la kwanza kutokea.
 
Mnamshauri atoe talaka wakat hatujui ttzo ni nini

Story yako ina magepu mengi na haijakamilika, ebu eleza shida yenu nn na mlikaa vikao kusuruhisha nini ebu weka mambo wazi ndo ushauriwe

Great thinker mko haraka sana kutoa maamuzi mbona mnakosa sifa za kua ma great thinker
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Kuna ndugu yangu muda mrefu mke wake alikuwa anamuomba taraka kila mara kila mara mwamba hayupo kwa ufupi Mwanaume aliwekewa sumu mapema sana ...... Wengine MUNGU anawapenda kama mke wako anaomba taraka mruhusu kashapenda kwingine au pepo la uuaji lishamuingia nafsi inamsuta Fanya mchakato umpe aondoke mapema usiangalie mzoea hujazaliwa naye mali zinatafutwa mpatie
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Kuna wanawake kama wanakuamini sana ukiwasaliti hata akisema amekusamehe bado roho itaendelea kumuuma daima milele amina. Kuna ndoa fulani ambapo mke na mume wote ni rafiki zangu, mke classmate, mume roomate wa chuo, mke alikuwa anamuamini sana mume wake kiasi aliwahi kuniambia hata angeambiwa mwamba ameonekana anatoka guest house na demu, asingeamini. Siku alipofuma msg mumewe amemtumia ela mchepuke atoe mimba, ni mwaka wa tano ila things have never been the same again.
Wanaishi wote, wana kazi nzuri wote, mke anatimiza majukumu yote, wanatengeneza miradi wanasomesha watoto, yani wote wako vizuri sana kila moja ana take home si chini ya 4mls, lakini ni kama wanaishi kwa mazoea. Mume kajaribu sana weeka mambo sawa lakini wapi. Mke anasem yuko sawa na kamsamehe lakini mtu anayewajua anaona tu wanaigiza.
 
Kumbe tatizo ni wewe halafu sisi tunamlaumu Binti wa watu,
Mkeo kaona hawezi kufanya maisha na mtu aliyetawaliwa na ulevi na kusahau majukumu yake na future ya maisha yake/Maisha yenu,

Kwa kesi hii nipo upande wa mkeo coz siamini kama umebadilika,
Mpe talaka Binti wa watu kisha wewe tafuta mlevi mwenzako umuoe,mtaendana vizuri sana,siku zingine mtakua mnaamua tu kama mlale Kilabuni au mrudi home.
Shida ni yeye
Apunguze kumuomba hela
Alf arudishe kwa wakati
Kama kashindwa bora asiombe
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Hata Mimi niliomba talaka mapema sana asubuhi! Kuna mambo yakishatokea kwenye ndoa ni bora kila mtu ale 50 zake! Uchawi kwenye ndoa haukubaliki
 
Jamaa alipata bahati kubwa sana ya kupata mke mwenye akili na malengo,
Ila ndio hivyo tena,penye miti hakuna wajenzi,inaonekana wazi kabisa kua Mke ndiye alikua kiongozi wa Nyumba.
Uko sahihi mkuu mke wangu ana akili na malengo hasa na ni fighter kweli lkn haijawahi kutokeq yeye kuniongoza wala kupinga misimamo yangu pmj na madhaifu yangu sikuwqhi kuruhusu kutawaliwa wala kuongozwa na mke wngu
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Ndoa Ndoano
 
Mmmmh
Hicho ulichofanya ni nini.. Nimefikiria nani iiiii...

Au nani iiiiii

Kapiga simu mbele yako makusudi.. Kuna kitu anataka ufanye au wakudake.. Wana mpango..

Sema tatizo
Angalia comments za nyuma
Kumbe shida ni yeye
 
Mimi sijaoa ili nikiwaza aya mambo yanayo tokea kwa wenzangu, moyo unakufa ganzi kuoa yule binti.
Mkuu we muoe tu na unatakiwa uchunguze kwenye familia yao je Mama yake anatabia ya kuolewa na kuachika au Dada zake maana mpaka mwanamke aanze kuomba talaka hiyo ni tamaduni za kwao za kuolea na kuachika, kama binti kwao hakuna na hajawahi kuona au sikia Mama yao kaolewa mara nyingi au Dada zake au Kaka zake hawajahi kutoa talaka.ni ngumu kuwa na wazo la kudai talaka wala kulitamka.
 
Pole sana kiongozi, hii taasisi ni ngumu mno na ku-survive inahitaji uvumilivu na upendo mwingi pia. Kama mke anasisitiza apewe talaka yake bila kutoa sababu hapo sababu itakuwa ni kuna mwamba mwingine ameanza kum-drive crazy kwahiyo wewe chakufanya hapo ni kumpa anachotaka
Kabisa
 
Back
Top Bottom