NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
Wewe unaasili ya ukorofi mimi sikuwezi.Kwenye redio au tv ndio watu wanapopigia kura?
Wewe unaasili ya ukorofi mimi sikuwezi.Kwenye redio au tv ndio watu wanapopigia kura?
Unatunga uongo ili kuhalalisha mawazo yako,sawa bwashee mjukusanye kulinda kura.
Wewe unaasili ya ukorofi mimi sikuwezi.
Sawa bwashee.Ukweli ni ukorofi? Sina ukorofi wowote zaidi ya kusema ukweli.
"Mbinu zile zile"zipi mkuu wangu 'Tindo'.Shida yako unakunywa mtori unataka nyama uzikute juu. Mtori nyama zake huwa ziko chini kaka. Najua njia ya box la kura kwa amani haiwezi kuleta matokeo tarajiwa, ni wendawazimu kutumia mbinu zile zile ukitarajia matokeo tofauti.
Nikoje?kumbe wewe ndivo ulivo hivo?
Nikoje?
Mkuu 'antimatter' ni wapi uliponisoma nikisema "kuwaachia jukumu viongozi wa upinzani pekee"?Ukombozi wa kweli toka mikononi mwa udhalimu kote duniani huwa unaletwa na nguvu ya umma. Kuwaachia jukumu hili viongozi wa upinzani pekee wanaokamatwa na kubambikiziwa kesi feki na kuwekwa ndani Kila wakati ni kuwaonea tuu