Sheria imetaja hairuhusiwi kuingia na simu haijataja simu aina gani.Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.
Ipo hivi, Kuna dogo anasoma MUST mwaka wa tatu, alijisahau akaingia na simu ndogo (kiswaswadu) kwenye chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.
Sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani .
Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Jamaa ananitisha kweli kweli 🤣🤣🤣 wakati kuna watu walikuwa hawatumii nondo na walikuwa best student ila walikuwa wananiomba majibu mie , nilikuwa nakaa kati kati nachezesha tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie ni ndoto tu kuwa na PhD na lazima niwe nayoo ndani ya miaka hii 5 kuanzia hapa napo comment[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kikubwa kukimbizana na muda tyuuh.
Sheria ya chuo inasemaje kuhusu kosa hilo?Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.
Ipo hivi, Kuna dogo anasoma MUST mwaka wa tatu, alijisahau akaingia na simu ndogo (kiswaswadu) kwenye chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.
Sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani .
Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Kufukuza Kwa miaka mitatu na akirudi aje kusoma kozi nyingine as freshSheria ya chuo inasemaje kuhusu kosa hilo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa ananitisha kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati kuna watu walikuwa hawatumii nondo na walikuwa best student ila walikuwa wananiomba majibu mie , nilikuwa nakaa kati kati nachezesha tuuu
Mh ndio vyuo vilivyo skuhizi nakumbuka nikiwa chuo cha uhasibu hukaguliwi umeingia na simu au uchafu gani leo kiswaswadu kiachwe nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23] ila akaongee na uongozi watamsikiliza na sio waende wakalalamike wataharibu
Utakua nayo usijar, maamuzi yako tyuuh.Mie ni ndoto tu kuwa na PhD na lazima niwe nayoo ndani ya miaka hii 5 kuanzia hapa napo comment
Nyie magenious [emoji28][emoji28][emoji28].. sie tia maji tia maji suport document muhimu.. paper ya mwisho nakumbuka nilikuwa na smartphoneeeee.. booklet, kibomu pembeni kulikuwa na pisi ikatumika kama agent [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maisha ni uwanja wa vita, tumia siraha ambayo itakuwesha kumshinda aduiKuna wakati unasoma kitu hakiingi na unajua kabisa hakikosi kwenye mtihani
Kuna siku nimekaa na Manzi paper ya Civil procedure kumbe bhana kachora kwenye ACt mara msimamizi huyu hapa duh ilikuwa balaa Manzi afu alikua mjamzito hapo hapo akafukuzwa chuo na kujifungua juu mtot akafariki duh sitakuja kusahau
Binadamu tunatofautiana katika suala la maamuzi, kuna mwingine ataangaliaUpo sahihi mkuu.sasa nashindwa kuelewa kwanini kwenye makosa kama haya hawana mda wa kuangalia vitu kama hivyo, wao ni kufukuza Moja Kwa Moja.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Alijisahau akaingia nayo akafanya mtihani badae akawa anatoka ndo kusasichiwa ikaonekanambona tena kuingia na simu?
Binamu hatuna jema,Walimu/Wakufunzi wa vyuo wakilegeza Sheria na taratibu tunakuja hapa JF kulaumu,Wakiwa strictly kufuata Sheria na taratibu tunasema hawana ubinadamu.Mtoa Uzi umeandika Uzi wa lawama Wakati huo mhusika hajafukuzwa Chuo,je akifukuzwa si utaenda kuloga Kabisa?.Kuwa mvumilivu,Subiri taratibu za Chuo.Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.
Ipo hivi, Kuna dogo anasoma MUST mwaka wa tatu, alijisahau akaingia na simu ndogo (kiswaswadu) kwenye chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.
Sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani .
Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Ndo hapo sasa kinachoumaa, daaaahsijui huko alipo ila kwa UDSM bora hata umpige mwalimu ngumi unaweza kutoboa ila simu hata iwe housing tu na haiwaki, jua umeisha ni lazima ufukuzwe chuo!!
iwe ilikuwa haiwaki au haina display as long as ni simu, wewe ni bye bye na kibachosikitisha zaidi process za kumfuta mtu cguo huchukua muda unaweza kuta umekamatwa kwenye pepa la semester 1 ukafanya mpaka mitihani ya semester ya pili, ila mwaka unaofuata unashangaa barua hii hapa
Vipi Kwa civil engineering inawezekana hii mkuu.Hata akifukuzwa aombe partial transcript na aongee na open University au chuo kingine akamalizie shule yake kwingine
Dalili zote zinaonyesha atafukuzwaBinamu hatuna jema,Walimu/Wakufunzi wa vyuo wakilegeza Sheria na taratibu tunakuja hapa JF kulaumu,Wakiwa strictly kufuata Sheria na taratibu tunasema hawana ubinadamu.Mtoa Uzi umeandika Uzi wa lawama Wakati huo mhusika hajafukuzwa Chuo,je akifukuzwa si utaenda kuloga Kabisa?.Kuwa mvumilivu,Subiri taratibu za Chuo.
Aangalia private University Kama zipo, au vipi wampe tu hio partial Kama haki yake, asiogope aombe hio partial yake na aanze masomo upya chuo kingine na fani nyingine