Huu ni zaidi ya uchawi

Huu ni zaidi ya uchawi

Aiseee kaazi kwelkweli,kwanza kama ni foto halisi aliyepiga alijuaje kuwa jamaa anaenda kucheki hazina yake
pili niliwahi kusikia kuwa hawa wachawi kuna baadhi ya vitu hata upige picha havitoki,
lakini pia na hisi hii nipicha duka
 
Your Honour!!! Can you prove it without reasonable doubt ?

hahahahah sio ule wa kutoa kafara mkuu
Huo wa kumfumania mtu unamtumia radi au sijui umegombana na mtu unamlima radi
Ningewaona wa maana kama wangekuwa na dawa zakuwapa nguvu walime mashamba makubwa ya kilimo au walete mvua sehem kame mazao yawe mengi



Hapana huu ni wa kule kwenu kabisa tena hapo wala hujasingiziwa
 
ngoja nimuite Pasco ni muungwana sana,
eti mkuu Pasco hii kitu inawezekana kwa dunia ya kawaida, kutumia yale mafundisho yako uliyotupa kule jamii inteligence???

attachment.php
Hakuna uchawi wowote, wala hayo maji hayajainuliwa kihivyo, hiyo ni fix tuu inayofanywa kwenye photographing.
Pasco
 
Hakuna uchawi wowote, wala hayo maji hayajainuliwa kihivyo, hiyo ni fix tuu inayofanywa kwenye photographing.
Pasco

yah mkuu tunajua hii adobe imetumika sana hapa vipi kwa kutumia ile elimu yako tunaweza kufanya kitu kama hiki??
 
Your Honour!!! Can you prove it without reasonable doubt ?


I can i have your birth certificate in my hands inayosema wewe ni wa kule kule mwisho wa reli mkuu Tized
 
Last edited by a moderator:
Mimi naamimini kwa kuamini kidhati unaweza kutembea juu ya bahari, kwanini hii isiwezekane?
sijasema haliwezekani, nimesema hiyo picha ni fix!. Wako watu watembea hewani, juu ya maji, hadi juu ya moto!.
Pasco
 
sijasema haliwezekani, nimesema hiyo picha ni fix!. Wako watu watembea hewani, juu ya maji, hadi juu ya moto!.
Pasco


pamoja mkuu lakini baadhi yao huwa hatuwaoni kwa macho ya kawaida hao wanaopaa,waotembea angani mpk tusikie wameanguka toka kwenye ungo n.k,ila anyway sometimes huwa naamini kwamba the less you know the better
 
Hakuna uchawi wowote, wala hayo maji hayajainuliwa kihivyo, hiyo ni fix tuu inayofanywa kwenye photographing.
Pasco

Mwenzio nikadhani nimaji yameganda so Dogo kanyenyua ice sheet
 
Back
Top Bottom