Huu ni zaidi ya uchawi

Huu ni zaidi ya uchawi

Mkuu kuna jamaa anaitwa Pasco ulishawahi kusoma uzi wake? Hii inawezekana kabisa


ahah yaule jamaa nampata vizuri nimechagua kutokujaribu kuyafanya yale mambo anayoyaeleza,maana ni shida. ila hata yeye mwenyewe sijui kama anaweza hii shughuli
 
attachment.php



duh...! hii mbona kali?

hili sio handaki la bin laden kweli?
yaani mimi mwenyewe hapa nimepigwa na butwaa hii kitu imewezekanaje??
 
ahah yaule jamaa nampata vizuri nimechagua kutokujaribu kuyafanya yale mambo anayoyaeleza,maana ni shida. ila hata yeye mwenyewe sijui kama anaweza hii shughuli

Mkuu kama unamsoma vizuri yule jamaa unaweza kufanya kama hii...
 
Wangeutumia kupata utajiri ningewaona wa maana sana

kwa jinsi nilivyosikia ni kwamba mchawi haruhusiwi kutumia uchawi kuchukua property ya mtundo maana unaona hawaendi bank kuchukua hela wala kwenda sonara kuchukua madini.wamekaa tu fitna na kuwawangia wenzao wasipate maendeleo
 
Mkuu kama unamsoma vizuri yule jamaa unaweza kufanya kama hii...

hahaha duh mkuu hi level nyingine lakini iangalie vizuri,mtu kuzuia bahari na mkono alafu kuhifadhi vitu chini yake,
wewe umeshapractise hata kitu kimoja kutoka kwa mafundisho ya pasco
 
sasa mkuu na wewe unaenda mbali sasa...

hahahahah sio ule wa kutoa kafara mkuu
Huo wa kumfumania mtu unamtumia radi au sijui umegombana na mtu unamlima radi
Ningewaona wa maana kama wangekuwa na dawa zakuwapa nguvu walime mashamba makubwa ya kilimo au walete mvua sehem kame mazao yawe mengi

Aisee Mr Rocky unatusingizia.

Hapana huu ni wa kule kwenu kabisa tena hapo wala hujasingiziwa
 
Mkuu Excel kule kuna waradi bana ukicheza tuu wanakushushia radi mchana wa saa sita jua kali

Hujasikia ya Wakara na mamba?? Hata kama maji ya kwenye beseni ukiwachokoza wanakutumia mamba ukiwa maliwatoni na anaibukia kwenye beseni!Cheezea Black magic weweee....
 
hahaha duh mkuu hi level nyingine lakini iangalie vizuri,mtu kuzuia bahari na mkono alafu kuhifadhi vitu chini yake,
wewe umeshapractise hata kitu kimoja kutoka kwa mafundisho ya pasco

Duh hapana mkuu siwahi kujaribu...hebu mmoja hapa ajaribu thn alete majibu
 
hahahahah sio ule wa kutoa kafara mkuu
Huo wa kumfumania mtu unamtumia radi au sijui umegombana na mtu unamlima radi
Ningewaona wa maana kama wangekuwa na dawa zakuwapa nguvu walime mashamba makubwa ya kilimo au walete mvua sehem kame mazao yawe mengi



Hapana huu ni wa kule kwenu kabisa tena hapo wala hujasingiziwa

lengo la wachawi na uchawi ni kuharibu amani...

ndio maana sisi tunakemea na kuvunja hizo nguvu za giza!
 
sasa mkuu na wewe unaenda mbali sasa...

Aisee Mr Rocky unatusingizia.

kwani Tized anatokea wapi mkuu??

nafikiri anatokea kigoma mkuu mwisho wa reli (heri mimi sijasema)

kwa jinsi nilivyosikia ni kwamba mchawi haruhusiwi kutumia uchawi kuchukua property ya mtundo maana unaona hawaendi bank kuchukua hela wala kwenda sonara kuchukua madini.wamekaa tu fitna na kuwawangia wenzao wasipate maendeleo

Sasa huo ndio ujinga sasa kama hauwezi kufanya hivyo hauna maana sasa mkuu Mndengereko
 
Last edited by a moderator:
Duh hapana mkuu siwahi kujaribu...hebu mmoja hapa ajaribu thn alete majibu

ngoja nimuite Pasco ni muungwana sana,
eti mkuu Pasco hii kitu inawezekana kwa dunia ya kawaida, kutumia yale mafundisho yako uliyotupa kule jamii inteligence???

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
nafikiri anatokea kigoma mkuu mwisho wa reli (heri mimi sijasema)



Sasa huo ndio ujinga sasa kama hauwezi kufanya hivyo hauna maana sasa mkuu Mndengereko

ofcoz hauna maana hatakama ingekuwa inawezekana kuchukua property za mtu pia ingekuwa haina maana kwa sababu ungekuwa unachukua kwa njia isiyo ya halali alafu pili unatumia kitu ambacho hujakitolea jasho
 
Back
Top Bottom