Huu ni ushenzi uliopitiliza

Huu ni ushenzi uliopitiliza

mshana kazi yangu ni ulinzi/sungu sungu ukipenda, kulala si moja ya majukumu yangu ya kazi...nimekuelewa...ila nasungumzia seniority mr. Kuna mambo ambayo mtu mzima, mathalan mwenye midevu ukikuta ananung'unika (bila kujali kutukia ama kutotukia kwake) ni lazima uwaze kwa sauti.. Kama waliotafunwa ni wakubwa kiumri achana nao, ni kihere here chao! Ni mambo yao binafsi, tukitumia muda mrefu kumnanga jamaa haibadilishi ukweli kwamba alitembea na ndugu wawili!

hahahaa sawa kaka shida si kula ndugu wawili, shida ni kula ndugu wawili wa jinsia tofauti
 
Kama waathirika huyo dada na mdogo wake wangeonyesha hali ya kutoridhika ufirauni huo basi tungewashauri waende katika vyombo vya sharia.
 
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza

Mkuu unataka watu wafanyeje?au huyo jamaa yuko hum unataka kumfikishia ujumbe?na kama yuko hum kwa nn usimtaje?mada zingine bwana!

Ushauri. Kama ni kweli,kwa kumsaidia mwambie dada mtu ajue.
 
sasa umeleta huku ili iweje? si kawaida tu, mimi nafikiri ungeenda kumwambia huyo jamaa mwenyewe au ndugu zake kuliko kumwanika huku.
 
Nahisi huwa hulali unawaza kesho upost nini!:sad:
 
sasa umeleta huku ili iweje? Si kawaida tu, mimi nafikiri ungeenda kumwambia huyo jamaa mwenyewe au ndugu zake kuliko kumwanika huku.

nimeleta huku ili upate cha kusoma na kuchangia kama hivi
 
mshana jr hivi visa vyako unavitoaga dunia gani au vya kufikirika?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom