Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza
Ikipita siku bila kuanzisha thread angalau tatu, mi ntabadili diní. We unamfaa sana Shigongo.
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza
horsehoe najua umetoka usingizini hebu isome tena kwa makini hii post
Acha upumbavu wewe Mshana Mods kungu'ta BAN Huyu Jamaa Hana adabu mada gani Za kutuletea Hapa