Watanzania tumeumbwa kulalamika tu....
ni kweli mkuu mimi nadhani mshana jr ulitakiwa kuja na strategy jinsi ya kumuweka wazi huyo jamaa maana hata watoto wa mtaani kwenu hawawezi pona
Watanzania tumeumbwa kulalamika tu....
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza
swali gani hilo jola je kama kabla ya huyo mume kutoka na mdogo ake wa kiume alikuwa anatoka naye ndo asjue
sucker punch! you are the least in my priorities dumb fool!
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza
Acha kudandia mjadala wa watu kwa mbele utaumia...............
umesoma nilichoandika au ndiyo kukurupuka?
as.shole............