Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #61
Stupid
Pathetic
Stupid
Ni USHAMBA na ULOFA kuzaa mtoto mpuuzi kama wewe na kumwacha akue. Ilikuwa bora mama atoe mimba yako au atupe kichanga ulipozaliwa kuliko kuleta Shida hii duniani.Kwa hisani ya kiumeni.
1. Tabia ya kuchukua namba watu humu ndani na baadae kuwasiliana kisha mkishindwana huko unakuja kumwaga umbea wako kama mwanamke wa kizaramo ni Ushamba na ulofa.
2. Kuweka Profile isiyo yako. Yaani kumweka mwanaume mwenzako au mwanamke mwenzako ni Ushamba na ulofa. Bora umuweke Mama, mke, mume au ndugu yako kuliko kuweka watu ambao hujawahi hata kuwaona ana Kwa ana na ukizingatia ni wazungu. Unamuweka mtu ambaye yeye akiambiwa akuweke kwenye Dp yake hatakuweka. Kama unatabia hii wee ni kichaa usiyejitambua.
3. Unahonga wanawake ambao na unajiona ni mwanaume. Wewe ni chizi uliyebakiza kuokota makopo. Ni Ushamba kuhonga mwanamke ambaye si Mke wako. Na hii hutokea Kwa wanaoanza mapenzi ukubwani.
4. Ni Ushamba kutongoza tongoza kila mwanamke unayemuona. Huu ni ulofa uliovuka mipaka. Wanaume wanaotongoza tongoza wanawake ovyo mara nyingi hawana nguvu za kiume.
5. Ni Ushamba na Ulofa kutamani kitu usiokuwa na uwezo kukipata. Yaani unakuta jitu linatamaa na vitu vikubwa wakati akili yake ndogo.
6. Ni Ulofa kushabikia mambo yasio na maana kama Mpira wa nje, Dini kutoka Ulaya na uarabuni. Ndio maana Afrika tunaitwa manyani.
7. Ni Ulofa na Ushamba Kutumia majina ya mataifa mengine kama Michael, Andrew, Janet, Sophia, Mwanaisha, Ashura n.k.
8. Ni Ulofa na Ushamba kutamani na kudharau kazi ya mtu mwingine ambaye humpi hata Mia kuendesha maisha Yake.
9. Ni Ulofa na Ushamba kumsikiliza mwanamke Kwa kila kitu. Labda uwe ndani ya jeneza.
Wakuendelea aendelee
Kwa hisani ya kiumeni
Kumbe ulikuwa unaanda hilo dongo?Nko oewky habibi wangu.
ha ha ha aaaaaaNdani= Gani
Mkuu samahan Kwa kukusahihisha bila ridhaa yk.
Ni Ulofa mkuu hakuna namna.
Haijalishi nimetoa post mimi. Ila km kuna sifa nnayo basi na Mimi ni lofa
Pamoja mkuuKwenye 1, 4, 9 nakuunga mkono mkuu
Muulize B. Mkapa MkuuUlofa maana ndio cheo gani? Mbona mtoa mada amejisifu sana kwenye huu uzi.
Umepaniko Broo. Take it easy.Ni USHAMBA na ULOFA kuzaa mtoto mpuuzi kama wewe na kumwacha akue. Ilikuwa bora mama atoe mimba yako au atupe kichanga ulipozaliwa kuliko kuleta Shida hii duniani.
Hujasikia kuwa mwaka huu yatajiri mengMmmmmh kali ya mwaka unatumia vipi account ya mtu kwani kufungua account sh ngap!!!!!! Uwo ni mtazamo wako tyu sir
Ni ulofa kubaki kuita tu habibi ikiwa ana jina lake halisiNko oewky habibi wangu.
Kumbe ulikuwa unaanda hilo dongo?
Sahau hilo...twende kule kwa hadithi yetu maana si kwa ukimya huo
Upo mremboha ha ha aaaaaa
Kukejeli watu kutokana na jinsia na kabila kama ulivyoanza hapo kwa "mwanamke wa Kizaramo" nako ni ushamba na ulofa.Kwa hisani ya kiumeni.
1. Tabia ya kuchukua namba watu humu ndani na baadae kuwasiliana kisha mkishindwana huko unakuja kumwaga umbea wako kama mwanamke wa kizaramo ni Ushamba na ulofa.
2. Kuweka Profile isiyo yako. Yaani kumweka mwanaume mwenzako au mwanamke mwenzako ni Ushamba na ulofa. Bora umuweke Mama, mke, mume au ndugu yako kuliko kuweka watu ambao hujawahi hata kuwaona ana Kwa ana na ukizingatia ni wazungu. Unamuweka mtu ambaye yeye akiambiwa akuweke kwenye Dp yake hatakuweka. Kama unatabia hii wee ni kichaa usiyejitambua.
3. Unahonga wanawake ambao na unajiona ni mwanaume. Wewe ni chizi uliyebakiza kuokota makopo. Ni Ushamba kuhonga mwanamke ambaye si Mke wako. Na hii hutokea Kwa wanaoanza mapenzi ukubwani.
4. Ni Ushamba kutongoza tongoza kila mwanamke unayemuona. Huu ni ulofa uliovuka mipaka. Wanaume wanaotongoza tongoza wanawake ovyo mara nyingi hawana nguvu za kiume.
5. Ni Ushamba na Ulofa kutamani kitu usiokuwa na uwezo kukipata. Yaani unakuta jitu linatamaa na vitu vikubwa wakati akili yake ndogo.
6. Ni Ulofa kushabikia mambo yasio na maana kama Mpira wa nje, Dini kutoka Ulaya na uarabuni. Ndio maana Afrika tunaitwa manyani.
7. Ni Ulofa na Ushamba Kutumia majina ya mataifa mengine kama Michael, Andrew, Janet, Sophia, Mwanaisha, Ashura n.k.
8. Ni Ulofa na Ushamba kutamani na kudharau kazi ya mtu mwingine ambaye humpi hata Mia kuendesha maisha Yake.
9. Ni Ulofa na Ushamba kumsikiliza mwanamke Kwa kila kitu. Labda uwe ndani ya jeneza.
Wakuendelea aendelee
Kwa hisani ya kiumeni
Wana nguvu za tiger ndio maana wanatongozaKwa hisani ya kiumeni.
4. Ni Ushamba kutongoza tongoza kila mwanamke unayemuona. Huu ni ulofa uliovuka mipaka. Wanaume wanaotongoza tongoza wanawake ovyo mara nyingi hawana nguvu za kiume.
Ni ulofa kubaki kuita tu habibi ikiwa ana jina lake halisi
Sante sana! Sante sana. Mkuu. Rais Mkapa hakuwa mbali na ukweli alipoita watanzania ni malofaKukejeli watu kutokana na jinsia na kabila kama ulivyoanza hapo kwa "mwanamke wa Kizaramo" nako ni ushamba na ulofa.