Huu ni Ushamba na ulofa.

Huu ni Ushamba na ulofa.

Mkuu soma vizuri mkuu.

Kila kitu ni Ubatili na kujilisha upepo. Huo ndio Ulofa.
mkuu ,kitu ambacho naona wewe umepotoka kuhusu point yak ni kwamba hakuna kitu ambacho mtu (mwenye akili/mind) akikitaman anakikosa, mfano mm sijawah kosa kitu chochote ambacho nna desire nacho, persistence na faith alaf nikikose, yaan kitu sijui nyumba ,gar au ata dada ako au dem wak nikimtaka namtapa ili mrad izo factor apo juu zikiwa constant tu,sijui umenielewa
 
Ndio hivyo My.

Ukiwa Chama cha matapeli wewe ni lofa.
Chama cha Denge na matapu tapu Lofa.

Yaani kushabikia Jambo ambalo hupati faida yoyote ni Ulofa tuu.

Muulize B. M
BM ndiyooo nani huyo??
 
Akili yako ndogo kuliko hata ya nzi imeshindwa kujua hata falsafa ya alieandika ni mwanaume au mwanamke mpaka uniite Dada. Wee kweli Lofa.

Ukisoma matini yoyote utulie sio uwe kama umekurupushwa na mkojo wa asubuhi
 
Nimeandika DADA kukukashifu tu maana Mwanaume Halisi Huezi Kuandika huo Upumbavu Kwanza ni Ushogaa
 
Nimeandika DADA kukukashifu tu maana Mwanaume Halisi Huezi Kuandika huo Upumbavu Kwanza ni Ushogaa

Umejidhalilisha mwenyewe Kwa kumkashifu mtu usiyemjua.

Ni ulofa kumkashifu mtu ambaye humjui
 
Back
Top Bottom