Huu ni Ushamba na ulofa.

Huu ni Ushamba na ulofa.

1. Kabisa mkuu...

2. Ntatumiaje fake account na real picture? Unataka ndoa za watu zivunjike nini? Humu watu wapo huru na kuweka picha halisi kutazuia uhuru... Tuna mabosi na wakwe humu.

3. Unajua maana ya kuhonga? Mke haongwi... Anahudumiwa

6. Pedi kwa mwanaume haina maana lakini kwa mwanamke ina maana... Kisicho na maana kwako kwa mwingine kina maana. Inaelekea hupendi vitu toka nje... Sijui simu unayotumia imetokea ndani?

7. Naona ID yako umejiita kilugha chako!!! toa boriti jichoni pako kwanza

9. Mwanaume nae hasikilizwi kwa kila kitu... Ata redio haisikilizi kwa kila kitu ndo awe binadamu mwenzako!? Hiyo ni enzi ya utumwa
 
Mkuu ukumbuke tunawindwa km sungura pori. Utumie picha yako na jina lako humu huo ni ulofa mkuu. Huwez kujitafutia kesi ya kuwasaidia polisiccm mkuu.
 
Ndani= Gani

Mkuu samahan Kwa kukusahihisha bila ridhaa yk.

Ni Ulofa mkuu hakuna namna.
Haijalishi nimetoa post mimi. Ila km kuna sifa nnayo basi na Mimi ni lofa
Hakika nawe ni lofa
 
Ndani= Gani

Mkuu samahan Kwa kukusahihisha bila ridhaa yk.

Ni Ulofa mkuu hakuna namna.
Haijalishi nimetoa post mimi. Ila km kuna sifa nnayo basi na Mimi ni lofa
Hakika nawe ni lofa
 
Back
Top Bottom