Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #21
Kumbe ww lofa
B. Mkapa alikuwa sahihi
Kumbe ww lofa
Mbn Uzi wako unamaneno makali hivyooooo......yani umejichanganya nawewe kbs mpnz!!!!!Nko oewky habibi wangu.
Ndani= Gani
Mkuu samahan Kwa kukusahihisha bila ridhaa yk.
Ni Ulofa mkuu hakuna namna.
Haijalishi nimetoa post mimi. Ila km kuna sifa nnayo basi na Mimi ni lofa

1.Ni Ulofa kutaka Watu waishi Ww Unavyoona ni sahihi kwako.
2.Ni ulofa Kuamini katika Mitando ya Jamii Kwamba Unaweza Kujiexpose kila Kitu mpaka Picha zako personal.
My take.
Samahani hizo namba zinapatikana wap ? Nahitaji mbili tu za kutongozana Usiku wa leo .. nitakurudishia Feedback...ili Povu likutoke zaidi.
Hakuna pumba hapo mkuu.namba 8 tu ndio point zingine pumba.
Wewe picha za watu unazitakia nini? Huku hatujaja kuangaliana sura... Ukitaka hiyo nenda fesibuku na instagramu... Sura zimejaa kibao. Hatutafuti marafiki huku... Mwendo wa kutoa hoja tuUhuru ndio ukichaa huo mkuu.
Kwani bila fake ID huwez kuwa huru?
Ulofa ndio unasumbua watu. Kuonyesha tabia yako ndio ikunyime uhuru?
2. Ni utoto sana!1.Ni Ulofa kutaka Watu waishi Ww Unavyoona ni sahihi kwako.
2.Ni ulofa Kuamini katika Mitando ya Jamii Kwamba Unaweza Kujiexpose kila Kitu mpaka Picha zako personal.
My take.
Samahani hizo namba zinapatikana wap ? Nahitaji mbili tu za kutongozana Usiku wa leo .. nitakurudishia Feedback...ili Povu likutoke zaidi.
Huwez pata kitu ambacho huwezi kukipata mkuu. Hivyo ni kichaa pekee anayeweza kutamani kitu ambacho hawez kukipataiyo no 5, umeandika ujinga mkubwa kupindukia, hakuna ambacho akili ya binadamu imetaman alaf ikakosa kukipata,all u need to have ni burning desire,persistence and faith ,ivo tu mengine yote yatakuja yenyewe,so apo rekebisha mkuu
Mbn Uzi wako unamaneno makali hivyooooo......yani umejichanganya nawewe kbs mpnz!!!!!
Nyuzi za ki lofa ndo zinajazanahivi mada za muhimu zimeisha? naona watu wameishiwa ubunifu
Huo ndio Ulofa unaozungumziwa hapa.Wewe picha za watu unazitakia nini? Huku hatujaja kuangaliana sura... Ukitaka hiyo nenda fesibuku na instagramu... Sura zimejaa kibao. Hatutafuti marafiki huku... Mwendo wa kutoa hoja tu
Sijajichanganya honey.
Ushaambiwa nchi hii ni ya malofa.
kwahiyo hadi mm nawewe??????loveouky nshajua naongea na mtu wa namna gn, sikia kijana km kwel kitu umeamua kukipata hakuna kisichoshindika mfano,wewe jiulize mtu wa kwanza kudiscover simu we unadhan jamii ya kipind hicho ilimchuliaje! km sio kichaa,but today we have been there because of him, huo ni mfano tu so, we jiulize km huyo amepata vp hawa wanaotaman magar na vitu vingine ambavyo ni vya kawaida sana, make it outta box mkuu, funguka kifikraHuwez pata kitu ambacho huwezi kukipata mkuu. Hivyo ni kichaa pekee anayeweza kutamani kitu ambacho hawez kukipata
![]()
![]()
![]()
kwahiyo hadi mm nawewe??????love
ouky nshajua naongea na mtu wa namna gn, sikia kijana km kwel kitu umeamua kukipata hakuna kisichoshindika mfano,wewe jiulize mtu wa kwanza kudiscover simu we unadhan jamii ya kipind hicho ilimchuliaje! km sio kichaa,but today we have been there because of him, huo ni mfano tu so, we jiulize km huyo amepata vp hawa wanaotaman magar na vitu vingine ambavyo ni vya kawaida sana, make it outta box mkuu, funguka kifikra
Sawa dada yetu tumekuelewa na Ujinga wakoKwa hisani ya kiumeni.
1. Tabia ya kuchukua namba watu humu ndani na baadae kuwasiliana kisha mkishindwana huko unakuja kumwaga umbea wako kama mwanamke wa kizaramo ni Ushamba na ulofa.
2. Kuweka Profile isiyo yako. Yaani kumweka mwanaume mwenzako au mwanamke mwenzako ni Ushamba na ulofa. Bora umuweke Mama, mke, mume au ndugu yako kuliko kuweka watu ambao hujawahi hata kuwaona ana Kwa ana na ukizingatia ni wazungu. Unamuweka mtu ambaye yeye akiambiwa akuweke kwenye Dp yake hatakuweka. Kama unatabia hii wee ni kichaa usiyejitambua.
3. Unahonga wanawake ambao na unajiona ni mwanaume. Wewe ni chizi uliyebakiza kuokota makopo. Ni Ushamba kuhonga mwanamke ambaye si Mke wako. Na hii hutokea Kwa wanaoanza mapenzi ukubwani.
4. Ni Ushamba kutongoza tongoza kila mwanamke unayemuona. Huu ni ulofa uliovuka mipaka. Wanaume wanaotongoza tongoza wanawake ovyo mara nyingi hawana nguvu za kiume.
5. Ni Ushamba na Ulofa kutamani kitu usiokuwa na uwezo kukipata. Yaani unakuta jitu linatamaa na vitu vikubwa wakati akili yake ndogo.
6. Ni Ulofa kushabikia mambo yasio na maana kama Mpira wa nje, Dini kutoka Ulaya na uarabuni. Ndio maana Afrika tunaitwa manyani.
7. Ni Ulofa na Ushamba Kutumia majina ya mataifa mengine kama Michael, Andrew, Janet, Sophia, Mwanaisha, Ashura n.k.
8. Ni Ulofa na Ushamba kutamani na kudharau kazi ya mtu mwingine ambaye humpi hata Mia kuendesha maisha Yake.
9. Ni Ulofa na Ushamba kumsikiliza mwanamke Kwa kila kitu. Labda uwe ndani ya jeneza.
Wakuendelea aendelee
Kwa hisani ya kiumeni
Hakuna kitu kama Taifa duniani. Hizi ramani za nchi tulichorewa na wazungu. Dunia haina nchi. Hakuna mipaka. Mipaka iko kichwan kwako
Sawa dada yetu tumekuelewa na Ujinga wako