Huu ni ushamba mkubwa sana

Huu ni ushamba mkubwa sana

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Huu ni upuuzi wa hali ya juu, wakati unaanza mahusiano na mtu uliyemzidi elimu ukiwa huna kitu ,vumbi limekujaa mpaka kwenye kope za macho hukuona kwamba sio level yako.

Leo hii umepata ajira nzuri unapigana vikumbo na wasomi wenzako huko ofisini unaanza kumdharau mke/mme wako.

Nimechukia sana kuna dada hapa kila kukiwa na shughuli ya ofisi anamtosa mme wake, alafu jamaa yake mtu poa sana namjua.

Inanitia hasira sana.
 
Aisee, mme huwa haonewi aibu.
Nimekumbuka uzi wa Lara 1 wa jana, nshomile kwa nshomile, kitaa kwa kitaa.
 
benteke, unajuaje mumewe ni mtu poa? Labda mkubwa kwa nje kwa ndani mdogo? So kishajiopolea mkubwa mwenzie kwa ndani hapo kazini, anaogopa kumkwaza.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni upuuzi wa hali ya juu.....wakati unaanza mahusiano na mtu uliyemzidi elimu ukiwa huna kitu ,vumbi limekujaa mpaka kwenye kope za macho hukuona kwamba sio level yako......leo hii umepata ajira nzuri unapigana vikumbo na wasomi wenzako huko ofisini unaanza kumdharau mke/mme wako. Nimechukia sana kuna dada hapa kila kukiwa na shughuli ya ofisi anamtosa mme wake. alafu jamaa yake mtu poa sana namjua. Inanitia hasira sana.

Au hapo ofisini ana mambo yake?
 
Alikuwa ni level yake kwa wakati huo alipokuwa anakula vumbi na sasa hiv yupo kwenye kiyoyozi. Dont u see the difference?
 
aaah kaz kwel kwel pole yake,hivi vitu vipo sana na ukivifuatilia utaumwa kichwa,mwingine anakwambia nije nae kwenye party ya wasomi ataongea nini wakati kiingereza chenyewe hajui,yani mtu anamuonea aibu mke/mme wake unakuta hawezi kupeleka mfanyakazi mwenzake nyumbani hasa kama yule mfanyakazi mwenzake hajui kiswahili
 
ni aina ya wadada ambao wana desturi ya kubashiribashiri katika mapenzi, wasiojielewa na wasiojua maana ya kupenda. Mwanaume omba sana Mungu akuepushe na wapenz dizain hii ni mateso
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu.....wakati unaanza mahusiano na mtu uliyemzidi elimu ukiwa huna kitu ,vumbi limekujaa mpaka kwenye kope za macho hukuona kwamba sio level yako......leo hii umepata ajira nzuri unapigana vikumbo na wasomi wenzako huko ofisini unaanza kumdharau mke/mme wako. Nimechukia sana kuna dada hapa kila kukiwa na shughuli ya ofisi anamtosa mme wake. alafu jamaa yake mtu poa sana namjua. Inanitia hasira sana.

Binadamu ndivyo walivyo jamaa yangu mmoja alisaidiwa sana na house girl mmoja akimhadaa kuwa atamuoa , alipopata kazi mambo yakawa poa akamtosa mbaya kuwa sio level yake
 
Mapenziiiii???
Tamaa na kutokuwa na uwoga na Mungu. Kutojiamini na kutojikubali............

"she is a problem, I am fixing the problem". sauti ya Dadake sarah kwenye ORPHAN BLACK huku akiwa kamweka kwenye target ya lens ya bunduki yake sawia kwa kumlipua msichana anaeonekana kufanya mapenzi na mpenzi wa dadake.
 
aaah kaz kwel kwel pole yake,hivi vitu vipo sana na ukivifuatilia utaumwa kichwa,mwingine anakwambia nije nae kwenye party ya wasomi ataongea nini wakati kiingereza chenyewe hajui,yani mtu anamuonea aibu mke/mme wake unakuta hawezi kupeleka mfanyakazi mwenzake nyumbani hasa kama yule mfanyakazi mwenzake hajui kiswahili

Haaa! kumbe usomi umeishia kukijua kingereza?
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu.....wakati unaanza mahusiano na mtu uliyemzidi elimu ukiwa huna kitu ,vumbi limekujaa mpaka kwenye kope za macho hukuona kwamba sio level yako......leo hii umepata ajira nzuri unapigana vikumbo na wasomi wenzako huko ofisini unaanza kumdharau mke/mme wako. Nimechukia sana kuna dada hapa kila kukiwa na shughuli ya ofisi anamtosa mme wake. alafu jamaa yake mtu poa sana namjua. Inanitia hasira sana.

Msomi ambae kaelimika hawi na mambo hayo. Ukiona hivyo hajaelimika
 
Back
Top Bottom