Huu ni ushamba mkubwa sana

Huu ni ushamba mkubwa sana

benteke, unajuaje mumewe ni mtu poa? Labda mkubwa kwa nje kwa ndani mdogo? So kishajiopolea mkubwa mwenzie kwa ndani hapo kazini, anaogopa kumkwaza.

Kongosho Hapa hamna hata mtu anataim nae kana mipini ya kufa mtu. yeye tu...tatizo dada zetu wanajifanyaga wako juu sana kiasi anaona hata akija na jamaa yake atajidhalilisha....
 
Last edited by a moderator:
yaelekea huko ofisini kwenu kukiwa na shughuli ana kamchepuko kakeeee...ndo maana hataki jamaa afahamiane na wafanyakazi wa ofisini kwenu

hamna ni ushamba wake tu...mbona kuna ambao tunapia na kwenye shughuli wanakuja na jamaa zao na wanatutambulisha na bia tunakunywa wote......na katika vyombo vikali hapa ofisini hata top mia hafikii
 
Mwanaume kulialia sio issue...kama vipi piga chini kuanza upya si ujinga
 
ila mwisho wake unakuwaje?......time will tell,hilo ni somo zuri kwa wengine.
 
interesting...

Make sure your yes toward others is never No to yourself.

Huyo bidada alipenda nini kutoka kwa huyo mwanaume?

Au wali-sign mkataba maalum wakati wa ujana wao?
 
Mwanaume kulialia sio issue...kama vipi piga chini kuanza upya si ujinga

Mkuu hizo gharama za kuanza upya wazijua wewe?

usilichukulie hili suala kirahisi rahisi...

Life is never measured by what we say, but what we do.
 
Mkuu hizo gharama za kuanza upya wazijua wewe?

usilichukulie hili suala kirahisi rahisi...

Life is never measured by what we say, but what we do.

Maisha siku zote ni kuchagua kama busara yako una opt kuvumilia sawa ila ni bora kuanza upya kuliko kukaa kwenye maisha hayo..

Kuna gharama kubwa kama ukiwa kwenye huo uhusiano kuliko kuanza upya unategemea na tafsiri yako ya gharama
 
Wewe ni mtu mmbea sana. Unamwonea wivu dada wa watu msomi na mjanja.
 
Huyo dada ushamba unamsumbua. Mbona watu ambao sio wasomi tunapiga nao madili ya pesa ndefu huku kitaa.
 
Namfahamu kaka mmoja kipindi hana kazi alikuwa na girlfriend wake maisha magumu kuanzia utosini mpaka kisogoni. Yule dada alikuwa bega kwa bega na yule handsome boy.... After one year of struggles kaka kapata kazi mshahara 4mil kapewa gari na mazagazaga kibao.... anamwambia yule dada... Very sorry nina mwanamke mwingine....

Hivi vitu vipo ila ni ushamba tuu hasa kwa watu wanaoshika vijisenti ukubwani...!

:A S 11::A S 11::A S 11::A S 11:
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu, wakati unaanza mahusiano na mtu uliyemzidi elimu ukiwa huna kitu ,vumbi limekujaa mpaka kwenye kope za macho hukuona kwamba sio level yako.

Leo hii umepata ajira nzuri unapigana vikumbo na wasomi wenzako huko ofisini unaanza kumdharau mke/mme wako.

Nimechukia sana kuna dada hapa kila kukiwa na shughuli ya ofisi anamtosa mme wake, alafu jamaa yake mtu poa sana namjua.

Inanitia hasira sana.
hapo kulikuw hakun mapenzi toka mwanzo bt demu alifata fursa tu...
mtu anaye kupenda lazima akukubali na apende kuonekana nawe.......NO LOVE
 
Back
Top Bottom