hopaje
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 1,726
- 1,218
askari wameua zaidi ya ng'ombe 50 bada ya kuingia sehemu ya hifadhi ya mwekezaji wa Glumet.
Watu wanaosadikiwa kuwa ni askari wa mwekezaji wa Grumet Fund na pori la Akiba la Ikorongo wilayani Serengeti mkoani Mara,wanadaiwa kuwaua ng'ombe zaidi ya 50 wa mkazi mmoja wa kijiji cha Mariwanda wilayani Bunda baada ya kudaiwa kuingia katika pori hilo kinyume cha sheria .