Kimetah
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 1,049
- 189
tufanyaje kiongozi mana wanarudisha maendeleo ya watu nyumaTena gusa kwingine sio Guruneti Bwana, Huko ndo Mkuu wa Kaya huenda kupumzika. Hao walie tu wala huyo DC hawezi kufanya lolote. Hao Maaskari wanaofanya hao sio wa kitanzania wametoka South Africa. Yaani wewe ulizia akina Mura watakwambia ukweli. Hiyo si ndo Kamati ya ya Bunge ya Mashirika ya UMMA iliyokuwa chini ya Shelukindo ilitolewa nduki walipojaribu kwenda kuwasikiliza mambo yao?
ACHA KABISA HIYO NDO IMETOKA, HATA HUYO GEORGE MARATO AJIANGALIE JAMAA HACHEZEWI KABISA.
Sasa tuko kwenye yale tuliyowahi kusoma kwenye Mine Boy enzi za Elimu ya Awamu ya Kwanza.
alafu kama unafam hao walinzi ni waTZ au wageni?