Nimeamua kumfata Yesu, Nimeamua kumfata Yesu..
Sitarudi, sitarudi...
Kama ya imani yalikuwa ni maneno mzuri yaliyotangulia yakimpa mtu tumaini na amani, naona haya ni bora mara elfu kuliko maneno lukuki yanayofuata na yasiyo na chembe ya tumaini wala amani kwa anayeyasoma.
Neno moja nalishika... NI HERI NIAMINI KATIKA MUNGU HALAFU NISIMKUTE, KULIKO NISIAMINI KATIKA MUNGU HALAFU NIMKUTE.
Naona battle ipo hivi mara nikishavuruga kumuamini Mungu hata nikikataa uwepo wa shetani tayari nitakuwa nimempa shetani ushindi wa mezani.
Vita ya kupambana na waamini Mungu ndiyo inayoongeza idadi kubwa ya Waamini Mungu na wapinga Mungu hubaki wameduwaa, how come!!!??
Upagani ni Imani, kutokumuamini Mungu ni imani, na KUMUAMINI MUNGU NI IMANI, na kila Mtu achague cha kuamini na kama anachokiamini kina NGUVU kubwa awe na hakika watu wengine wataunganika kuamini hicho.
Asante!