blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,677
- 9,502
Hahaah asili ya hivi vitu vya hii dunia vimetoka wapi?Kama ndiyo hiyo tafsiri yake basi upo.
Thibitisha sasa kwamba Mungu huyo wa vitabuni vya kuletwa na majahazi yupo.
Hahaah asili ya hivi vitu vya hii dunia vimetoka wapi?Kama ndiyo hiyo tafsiri yake basi upo.
Thibitisha sasa kwamba Mungu huyo wa vitabuni vya kuletwa na majahazi yupo.
Anza taratibu kufikiri kuhusu Mungu! Jifunze kuhusu hizi dini mwisho utagundua yapo mambo hayapo sawa.ipi hiyo embu nitajie
Sijui vilikotoka.Na kutokujua huku hakuthibitishi kuwa huyo Mungu wa vitabuni yupo.Hahaah asili ya hivi vitu vya hii dunia vimetoka wapi?
Mkuu Mungu yupo na hana upendeleo! Unasema mbona kuna matajiri sana na maskini sana, hivi unadhani tajiri ana ponda raha sanaaa kuliko maskini? Usilo lijua ni kwamba tajiri hana raha kabisa siku zake ni maangaiko yasiyo isha. Jiulize wewe pengine hapo ulipo una afya nzuri macho yako na mikono yako vyote vinashuhudia jinsi unavyo mponda Mungu aliyekupa hivyo vyote. Ange kuwa anaupendeleo au hukum yake ni kama binadam si sahivi ange kufanya kipofu?
Unajua maana ya kujipinga?naamini vipi wkati nikitabu kinachojipinga chenyew...na wewe unajua kabisa kuwa sikiamini"" lakini sio kilichokufanya mpaka uniulize ninini ??
una amini kwamba Mungu aliumba huu ulimwengu?Nimekuuliza imani ipi unamaanisha!?
Hata kusema kuwa baadae ntakula ni imani pia maana huna uhakika kama utafanya hivyo.Lolote linaweza tokea kabla ya muda huo na hivyo imani hiyo kufia njiani.
wewe Jamaa mbona unapenda kudiscus "" vitu ambavyo tumeshavitolea maelezo Humu"' hebu jaribu kupitia nyuzi zote zinazo husu" haya masuala ya dini .utapata majibu ya unachouliza "' usiwe mgumu wa kutafuta maarifa chiefUnajua maana ya kujipinga?
wapi biblia imejipinga?
we kama GT lazima uwe umeisoma biblia na umeimaliza ukaijua sehemu flani zinajipinga sio uwe umekariri au umenukuu sehemu .....ila hata iyo uliomezeshwa ilete ila kinyume na hapo ntakuweka level za wale wanaochukua andiko kama 1kor 15;13-19wewe Jamaa mbona unapenda kudiscus "" vitu ambavyo tumeshavitolea maelezo Humu"' hebu jaribu kupitia nyuzi zote zinazo husu" haya masuala ya dini .utapata majibu ya unachouliza "' usiwe mgumu wa kutafuta maarifa chief
Pengine wao wataupata uzima wa milele mimi nita ukosa.Kwanini kuna watu wapo Ocean Road wanaumwa kansa nzito nzito na wewe uko nyumbani kwako una afya tele.Tena wengine waliopo kule ni wema mbele za Mungu kuliko hata wewe
Kwanini wale waumwe wewe uwe na afya njema?
ushalipwa au bado una madai?malipo ni hapahapa duniani mzee hakuna cha mbinguni wala cha motoni apa ,tunatishana tu utazani wenyewe washafika uko mbinguni wanakosema
halafu ujajibu swali nimekuuliza unajua maana ya kujipinga?wewe Jamaa mbona unapenda kudiscus "" vitu ambavyo tumeshavitolea maelezo Humu"' hebu jaribu kupitia nyuzi zote zinazo husu" haya masuala ya dini .utapata majibu ya unachouliza "' usiwe mgumu wa kutafuta maarifa chief
hahaaa wewe Jamaa bhana" kwahiyo mtu ambaye ni budha " ambaye hana ufahamu wowote kuhusu biblia lakini ameweza kugundua bicycle (mfano) hapaswi kuitwa GT ...aisee..kazi kweli kweli "" nimeshindwa kukujibu hoja yako kutokana na ubusy nilionao muda huu...ndio maaana nikakambia upitie trds mbali mbali zenye maudhui kama haya...mbona zipo nyingi Humu"" au umeshindwa kuzifuatilia mkuu wataka tubishane tu....wajua tangu majuzi tumekuwa tunabishana kuhusu swala hili hili "" kitu ambacho kilipelekea kuuminya muda wangu nakufanya nishindwe kufuatilia taarifa nyingine muhimu zaidi "" katika majukwaa mengine .!!??we kama GT lazima uwe umeisoma biblia na umeimaliza ukaijua sehemu flani zinajipinga sio uwe umekariri au umenukuu sehemu .....ila hata iyo uliomezeshwa ilete ila kinyume na hapo ntakuweka level za wale wanaochukua andiko kama 1kor 15;13-19
aisee...hahaa"" ...NIMEKULA " SIJALA""...kutoa matendo ama kauli inayoonyesha utofauti na ile kauli/vitendo vyako vya awali "" ......ambavyo huwenda ulivitolea ufafanuzi ili vionekane kuwa vilikuwa sahihi"" ......(kutoeleweka )halafu ujajibu swali nimekuuliza unajua maana ya kujipinga?
halafu Mungu hamna sehemu yoyote aliposemaPengine wao wataupata uzima wa milele mimi nita ukosa.
Nikipitia thread siwezi kuijibu thread ndomana wewe lazima uwepo uilete iyo thead tuianze kuidadavua ndo nilicho maanisha ila kama upo bize ukiwa free utailetahahaaa wewe Jamaa bhana" kwahiyo mtu ambaye ni budha " ambaye hana ufahamu wowote kuhusu biblia lakini ameweza kugundua bicycle (mfano) hapaswi kuitwa GT ...aisee..kazi kweli kweli "" nimeshindwa kukujibu hoja yako kutokana na ubusy nilionao muda huu...ndio maaana nikakambia upitie trds mbali mbali zenye maudhui kama haya...mbona zipo nyingi Humu"" au umeshindwa kuzifuatilia mkuu wataka tubishane tu....wajua tangu majuzi tumekuwa tunabishana kuhusu swala hili hili "" kitu ambacho kilipelekea kuuminya muda wangu nakufanya nishindwe kufuatilia taarifa nyingine muhimu zaidi "" katika majukwaa mengine .!!??
Kama jambo dogo kama hilo hujui hivi hujui kama wewe ulikuwa mfano wa uteute au kama kamasi lakini sasa umekuwa jitu lililo kamilika kimwili tena lenye kuhoji kwamba hakuna Mungu. Dah ni ajabu kweli!Sijui vilikotoka.Na kutokujua huku hakuthibitishi kuwa huyo Mungu wa vitabuni yupo.
Thibitisha sasa kwamba yupo.
hahahaha....wapi sasa biblia imejipinga kupishana cha kwanza na cha pili ?aisee...hahaa"" ...NIMEKULA " SIJALA""...kutoa matendo ama kauli inayoonyesha utofauti na ile kauli/vitendo vyako vya awali "" ......ambavyo huwenda ulivitolea ufafanuzi ili vionekane kuwa vilikuwa sahihi"" ......(kutoeleweka )
sehemu nyingi tu ""..…naomba jione unikumbushe nikiwa sipo busy nikuletee fact hapa....muda huu Nipo tighthahahaha....wapi sasa biblia imejipinga kupishana cha kwanza na cha pili ?
poa ntakucheki jionisehemu nyingi tu ""..…naomba jione unikumbushe nikiwa sipo busy nikuletee fact hapa....muda huu Nipo tight
umeeleweka ""halafu Mungu hamna sehemu yoyote aliposema
Nikipitia thread siwezi kuijibu thread ndomana wewe lazima uwepo uilete iyo thead tuianze kuidadavua ndo nilicho maanisha ila kama upo bize ukiwa free utaileta