Huu ni ukweli usiopingika kuhusu dini

Huu ni ukweli usiopingika kuhusu dini

kumbe ndio icho kilichokuwa kinakuchanganya?kwanza ujue ni vigumu kumwelewa Yesu kama ukisoma biblia kama gazeti inabidi uelewe Yesu alikua anamaanisha nini, mwanafunzi wa Yesu yohana ndio aliekua ananenwa pale na Yesu ndomana ukisoma injili ya yohana wanafunzi wa yohana wanajibu pia Mtume yohana ndio aliyeandika ufunuo na aliona ule utukufu wa Yesu ,uweza na nguvu zake soma ufunuo wa yohana 1:8 na kuendelea ndo utapata jibu la swali lako kwamba kuna watu hawatakufa hadi wamwone mwana wa Adamu akija katika ufalme wake YesUu aliongea katika muktadha huu
sasa ndio umejibu nini ?? umejibu majibu mepesi kwenye hoja nzito " hii sio sifa ambayo anapaswa kuwa nayo GT ....kama hujui kitu unasema tu " hkuna atakaye kuona mjinga
 
maneno aongee yesu ufafanuzi akatoe yohana🙁
yani ni kama magufuli na kauli zake tata halafu ufafanuzi wanatoa mawaziri
mkuu you are in a deep sleep
dozi ya sunday school uliyopigwa ni kubwa sana
ha haha ha haa
 
Hiyo ni jinsi Mungu anavyo tuchukulia kama watoto wake. Ikiwa wewe binadamu unatoa huku kwa mwanao ambaye wewe mwenyewe huijui kesho yako wala ya huyo mwanao, unatoa hukum ya mtoto wako, naunasema kama hakutii atakuwa amepungukiwa na akili. Je hukum ya Mungu itakuwaje kwa wale ambao hawa mtii?

Mkuu mbona dini zenyewe zote zimeanzia eneo moja? Na ipi ya kweli? Ili tuone hiyo hukumu inasemaje
 
Mkuu mbona dini zenyewe zote zimeanzia eneo moja? Na ipi ya kweli? Ili tuone hiyo hukumu inasemaje
Mkuu dini ni moja tu! Ni kama alivyo Mungu mmoja. Ukweli dini nyingi ni za uongo mwanadam anapaswa atumie akili zake zote kutambua ipi iliyo sahihi.
 
wajinga ndio waliwao,ukitaka ukubaliane na mimi kuhusiana na huo msemo,waangalie makasisi wao maisha wanayoishi ukilinganisha na watoa fungu la kumi,mimi kama una shida nakusaidia tu ila sio nikatoe sadaka sijui kwa nani,never in my life,ndio maana nilishawaambia hata ndugu zangu nikifa sitaki dhehebu lolote lijitokeze kujifanya wananisalia,unafiki na uwoga wa kipuuzi..
Kwahiyo umewaambiaje ndugu zako ukifa? Ukafukiwe tu kama mzoga au upigwe kibiriti yaishe?

Hiki ni kiburi cha uzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ndio umejibu nini ?? umejibu majibu mepesi kwenye hoja nzito " hii sio sifa ambayo anapaswa kuwa nayo GT ....kama hujui kitu unasema tu " hkuna atakaye kuona mjinga
unaiamini biblia?
 
Mkuu hiyo nguvu iliyokuwepo ktk akili yako ni kubwa sana nyie mnaita imani itumie vizuri wala huitaji kuwa na mungu labda nikuulizie embu nitajie faida za mungu hapa duniani?
Faida ya Mungu ndiyo inakupa hiyo nafasi ya kiburi cha uzima kwa muda tu kiasi, kinywa chako kiteme makufuru yako kwa muda mchache uliotengewa kuyatimiza yalokujaa moyoni kabla hajazima kiburi chako soon (utake usitake) . So mshukuru Mungu kwa opportunity hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtumishi hapo ndipo napochoka udongo + magic= adam yaan kirahisi kama hivi we unashahidi gani kama mtu wa kwanza ni adam na je alitokana na mavumbi gani yana compound gani?
Ukiuliza swali la wewe una uhakika gani unajaribu kutumia mbinu zilezile za ujanja wa shetani wa kujaribu kumtoa mtu kwenye imani ili amuweke kwenye complication !! So to me my answer to your question is "The word of the living)God says....."( uwe unaamini au huamini) "MIMI NIMECHAGUA KUAMINI KATIKA IMANI INAYOKUJA KWA KUSIKIA (IWE NIMEONA AU SIJAONA) NA KUSIKIA HUKO KUWE KUNATOKANA NA NENO LA MUNGU" Period!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aissee....kama Application au ?
Pope siyo neno la Mungu, pope ni kiongozi wa katholic. Pope ni binadamu na dhambi zake zi juu ya kichwa chake. Kumbuka neno la Mungu lipo kabla ukatholic wala upapa wowote haujafikiria kutokea. So influence ya pope ni juu ya hao watakao Chagua fungu la kupotea na pope. Lakini neno la Mungu halina chochote cha kumhusu pope.

SAA hizi utanichosha tu mkuu"" niache nilale kwanza "" kesho pakikucha"" anza kunidai majibu ya hiki unachoniambia
 
kwaio imani yako wewe mchana utakula?
Nimekuuliza imani ipi unamaanisha!?

Hata kusema kuwa baadae ntakula ni imani pia maana huna uhakika kama utafanya hivyo.Lolote linaweza tokea kabla ya muda huo na hivyo imani hiyo kufia njiani.
 
Ni kweli ila hapo bado hujaleta upuuzi wa kiislam, hizi dini kwa kweli ni shida tupu tu.
 
Back
Top Bottom