Ukweli ni jambo lolote ambalo ki uhalisia hutakiwi kulithibitisha lenye lipo lina dalili nying la kuonyesha kuwepo kwake na uwongo kinyume hayo maana tunasema dini ni uwongo kwa kuwa mungu hayupo,thibitisha mungu yupo kama wewe unasema kweliKama hakuna Mungu kuna nini!! Nawewe umejuaje hayo mengine ni uongo??
Mungu yupo kwa sababu yaliyo fanywa nae yapo! Pia shetani yupo maana mawakala wake wapo tunaishi nao.Ukweli ni jambo lolote ambalo ki uhalisia hutakiwi kulithibitisha lenye lipo lina dalili nying la kuonyesha kuwepo kwake na uwongo kinyume hayo maana tunasema dini ni uwongo kwa kuwa mungu hayupo,thibitisha mungu yupo kama wewe unasema kweli
Weak reasonMungu yupo kwa sababu yaliyo fanywa nae yapo! Pia shetani yupo maana mawakala wake wapo tunaishi nao.
Sawa sema wewe tujifunzeWeak reason
You can't prove the absence of something that doesn't exist,but you prove the something that exist,Mimi nasema hakuna mungu ni kazi ya beleiver Ku prove uwepo wake beyond reasonable doubts and with logical consistence and not other wise,na wewe kutokujua nature ya kitu flan kuwepo doesn't mean bas mungu ndo kakifanya [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,prove kwamba mungu ndo kakifanya ,periodSawa sema wewe tujifunze
Ha ha haaamgonjwa gani aliyepona?acha kupotosha wewe
nionyeshe mgonjwa aliyekatika mguu au mkono ukaota kwa maombezi
Yapi yaliyofanywa na mungu kuwapa watu kifua kikuu waugue wafe hayo we unaona jambo zuri kweli huyu mungu yupo? Kama yupo upendo wake upo wapi?Mungu yupo kwa sababu yaliyo fanywa nae yapo! Pia shetani yupo maana mawakala wake wapo tunaishi nao.
Kwahiyo katika mambo hayo umeona kifua kikuu tu!!! Hiyo ndiyo unaweza kusema hakuna Mungu??Yapi yaliyofanywa na mungu kuwapa watu kifua kikuu waugue wafe hayo we unaona jambo zuri kweli huyu mungu yupo? Kama yupo upendo wake upo wapi?
Sawa muingereza! Nimekusoma.You can't prove the absence of something that doesn't exist,but you prove the something that exist,Mimi nasema hakuna mungu ni kazi ya beleiver Ku prove uwepo wake beyond reasonable doubts and with logical consistence and not other wise,na wewe kutokujua nature ya kitu flan kuwepo doesn't mean bas mungu ndo kakifanya [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,prove kwamba mungu ndo kakifanya ,period
kama ni maneno ya mungu kwa nini yasiwe kamilikwa
ukisoma biblia ili utafute makosa bila kuangalia muktadha utaona makosa mengi tuu kwa upande wako kwani wewe utakua unataka kuoanisha kila kitu bila kuangalia mazingira
Yesu mwenyewe alikua anafundisha kwa mifano watu wenye mawazo kama nyie mtazame wala msipate kuona mamlaka katupa mwenyewe Yesu kupitia Roho mtakatifukama ni maneno ya mungu kwa nini yasiwe kamili
kwa nini yahitaji tafsiri ya binadamu!!!
nani kakupa mamlaka ya kutafsiri kilichoandikwa kwa mawazo yako?
mathayo 16:27 alikwambia alikuwa na maana gani?kama ni maneno ya mungu kwa nini yasiwe kamili
kwa nini yahitaji tafsiri ya binadamu!!!
nani kakupa mamlaka ya kutafsiri kilichoandikwa kwa mawazo yako?
we swali uliuliza kupitia mathayo 16;28 siyo 16;27mathayo 16:27 alikwambia alikuwa na maana gani?
sentensi ipo clear kabisa
sawa 28,sioni nafuu yoyotewe swali uliuliza kupitia mathayo 16;28 siyo 16;27
vizuri kwa kukubali kumbuka katika mstari wa 28 muktadha ulikua umebadilika hazungumzii tena siku ya hukumu au ya kuja kwakesawa 28,sioni nafuu yoyote
kwa nini unaweka tafsiri yako wakati kasema wazi hawatakufa kabla hawajauona ufalme wa mbingunivizuri kwa kukubali kumbuka katika mstari wa 28 muktadha ulikua umebadilika hazungumzii tena siku ya hukumu au ya kuja kwake
mstari wa 28 hausemi ivyo embu soma biblia yako vizuri au umechukua tuu Tango pori bila kulichunguza?kwa nini unaweka tafsiri yako wakati kasema wazi hawatakufa kabla hawajauona ufalme wa mbinguni
ufalme wa mbinguni ni nini?
Maana yake kama mungu yupo hawezi fanya ukatili kama huo maana yeye huwa anasema yeye upendo kwann awape watu ugonjwa hayo maneno ya biblia sio mmKwahiyo katika mambo hayo umeona kifua kikuu tu!!! Hiyo ndiyo unaweza kusema hakuna Mungu??