Huu ni ukomavu wa Kupenda.

Huu ni ukomavu wa Kupenda.

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
::
Kijana mmoja ambae alikuwa akimpenda sana msichana wake.
Alimpa ahadi nyingi,
Alizoea kupiga simu sana,
Alipenda kumtembelea sana,
Alikuwa wa kwanza kuomba msamaha hata kama kosa si lake,
Alikuwa tayari kukopa hata pesa ilimradi asimuone mpenzi wake anababaika na tamaa za ovyo.
Na mengineyo mengi
::
Yule mpenzi wake kuona anapendwa,anathaminiwa,anasifiwa,akajua hata akifanya lolote hawezi achwa..
::
Ghafla yule kijana akasitisha kila alichokuwa anafanya.
Kawa kimya kupita ukimya wenyewe.Yule mpenzi wake kaanza laumu,katapatapa,kauliza alichouliza.Lakini yule kijana kimya.
Yule mdada kamwambia "Hunipendi,ungenipenda usingenichunia"
Yule kijana akajibu
"SIKUACHA KUKUPENDA,,NILIACHA KUKUONYESHA KUWA NAKUPENDA"
::
Je,,jibu hilo linaashiria ukomavu katika kupenda?
=
 
dah!mi naomba nisijibu swali lako ulivoliweka!ila nimejifunza kitu kwa kweli!
naomba nisiweke nilichojifunza rather niache watu wajibu swali husika!
 
Mapenzi ya vijana bana
So many strategies and tricks, ambazo mwisho wa siku mnaishia kitandani tu

Heri yetu wazee, tunajua tutakacho twapeana bila hiyana.
 
yule kijana hata asingemjibu hivyo maana tayari kashaonesha anampenda
 
I learnt two things

To a girl: Actions speak louder than words. She wants to feel, smell, touch, hear!!
To a boy: Some things are taken for granted and the law of diminishing returns applies. Routines make no differences!!
 
Mapenzi ya vijana bana
So many strategies and tricks, ambazo mwisho wa siku mnaishia kitandani tu

Heri yetu wazee, tunajua tutakacho twapeana bila hiyana.

::
Kongosho
Haaa! Wazee ndo hawana mwisho wa kupenda?
=
 
Last edited by a moderator:
Please sister tuambie na sisi tujifunze kitu...

iko hv
imagine tunavyopata watu wanaotuonyesha jinsi wanavotupenda!
imagine namna jinsi watu wanavyoumiza wanaojua wanawapenda
imagine watu wanavyocheza na hisia za watu!
na wote hao mwisho wa siku wanabaki ningejua!ningejua!jamaa alikuwa ananipenda yule bas tu,au dada alikuwa ananipeda yule bas tu!
AH!nachukia mimi!
bora huyu alibaki kusema nabaki kukupenda lakini sikuonyeshi nakupenda tena!
kuna wengine baada ya makwazo hayo HAWAPENDI TENA!wanabaki kuingia kwenye mahusiano na ndoa kwa mazoea tu alimradi!lakini in the real sense WALISHAKATISHWA TAMAA!like kama nilifanya yote yale kwa yule na bado aliishia kuniumiza wacha hili niende segemnege tu litakalokuwa na liwe!
INAUMIZA KWA KWELI!
 
Husninyo
Swali nalojiuliza kwa nini msichana atapetape wakati anapendwa?

ujue mabadiliko katika mahusiano hata yawe madogo kiasi gani yanashtua. ndo maana sometimes si vizuri kufanya jambo kwa mazoea sababu ukiacha kulifanya upande wa pili unapata wasiwasi
 
Last edited by a moderator:
Tetra...😛layball:

U got me thinking!!!!
 
Last edited by a moderator:
ujue mabadiliko katika mahusiano hata yawe madogo kiasi gani yanashtua. ndo maana sometimes si vizuri kufanya jambo kwa mazoea sababu ukiacha kulifanya upande wa pili unapata wasiwasi

Husninyo
Lesson noted
 
Last edited by a moderator:
Tetra...😛layball:

U got me thinking!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kupenda ni nini??

Sie zamani unapangiwa mme na wazazi na unaishi naye happily

Kongosho
Kupenda ni kujitoa kwa ajili ya mwingine.
::
Huyu kijana kajitoa ila anaona kujitoa kwake kunachukuliwa kimzaha.
Nyinyi wa zamani,tupe siri ya urembo mnawezaje kuvumilia upendo wa upande mmoja?
=
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom