Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

kwa mtizamo wangu inaonekana dr slaa amewazoea sana polisi na kuwachukulia kama mashemeji zake eti tu kwa vile nae na chama chake cha chadema wanavaa makombati ya mgambo basi nao wanajiona kama polisi! siku moja nilikua dodoma hotel nasikia vijamaa vya chadema vinajiita eti kamanda! sasa nikamwangalia mnyika ukamanda kautoa wapi hata jeshi la mgambo hajawahi pata mafunzo! ndio maana dr slaa anaona polisi wako sawa kisa manguo yake ya khaki anayo vaaa!
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

hilo kwenye red lina ukweli asilimia fulani.

siku ya tukio, POLISI walijulishwa na kuomba ulinzi. Aliyepewa majukum ya kusimamia kuhakikisha watu wanakuwa salama, ni A/INSP. JOYCE KOTECHA, Kotecha ni mwizi wa rasilimali za watanzania, ni diwani kata ya Nyamagana CCM, na ni mzungu. sasa inasemekena walitaka ushindi na ikiwezekena kupunguza kura moja kwa kumwua Highness ili huyo mzungu akishirikiana na Jack masamaki aliyekuwa mgombea udiwani KIRUMBA, KOTECHA, mme wa Joyce polisi Tarafa ilemela, ndo wamng'oe Manyerere na KOTECHA agombee umeya wa jiji.

Ndio maana hata baaada ya kuwepo ulinzi wa POLISI, bado jamaa walikatwa mapanga na hakuna aliyewakamata wakati polisi ingefyatua hata risasi kuwadhibiti wauaji, lakini hawakuchukua hatu yoyote.

Jeshi la polisi linatakiwa kutopendelea upande wowote, kwa hili la Highness walipendelea upande wa CCM, na Mkaguzi aliyepelekwa eneo hilo kusimamia ulinzi ana maslahi ya moja kwa moja na CCM, kwani mme wake ni diwani wa CCM.

Uongozi wa polisi wilaya wangetakiwa kuwachukulia hatua kali na za kinidham wote waliokuwepo kwenye tukio, kama wilaya wameshindwa, basi polisi mkoa iwawajibishe wote waliokuwepo kwenye eneo la tukio na wakashindwa kukamata hata gari moja achilia mbali hata mtuhumiwa mmoja.

mbona ulioandika hapo hayana mashiko,umeyaokota wapi ? jalala lipi?.....Bila shaka wewe ni mmoja wa wale tunaowatafuta kwa ubadhirifu wa rasilimali za taifa hili ....unaishi wapi wewe ? kama ni ostbay au masaki anza safari '''tembea nchi nzima hasa vijijini angalia tabu za wananchi ...Usiongee tu kwa vile hulipii kodi hilo domo........usituletee maisha ya watu binfsi hapa ....lete issue zinazogusa taifa acha jazba na chuki binafsi,acha ushabiki wa kichama.....nakushauri acha kutumika kisiasa ni hatari sana kwako tena ungali kijana mdogo.........pia mrudie MUNGU utafanikiwa sana.....oke.

Mwizi ni mwizi awe CCM au CHADEMA.
 
kwa mtizamo wangu inaonekana dr slaa amewazoea sana polisi na kuwachukulia kama mashemeji zake eti tu kwa vile nae na chama chake cha chadema wanavaa makombati ya mgambo basi nao wanajiona kama polisi! Siku moja nilikua dodoma hotel nasikia vijamaa vya chadema vinajiita eti kamanda! Sasa nikamwangalia mnyika ukamanda kautoa wapi hata jeshi la mgambo hajawahi pata mafunzo! Ndio maana dr slaa anaona polisi wako sawa kisa manguo yake ya khaki anayo vaaa!

kukusaidia ndugu yangu..tafuta mahali popote nje au ndani ya tz penye chuo cha maadili hasa ya uongozi ukasome japo certificate itakusaidia....kwaheri
 
Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Kwani CDM wanaandamana na silaha au mabomu? Lete mfano wowote ambao CDM wamehatarisha amani
 
Mhm...!!cjaona uchochez wowote hapo.slaa,mbowe na mnyaka wako sawa kabisa.
 
Kwani CDM wanaandamana na silaha au mabomu? Lete mfano wowote ambao CDM wamehatarisha amani

Hahahahahahahaha, ama kweli umekuwa kipo kutokana na ushabiki wako.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

jarib kushirikisha ubongo wako japo kidogo tu kabla ya kupost,nadhan itakusaidia sn
 
Kelele za Zitto bungeni iliripotiwa anashinikizwa na nchi flani ya nje. Jee, na hawa? nna uhakika kuna ka mkono fulani kakutoka nje, lakini nnwahakikishia Tanzania ni zaidi ya wanavyoiona ngoja wataumbuliwa baada ya muda si mrefu. Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Walitulizana lakini naona sasa wameshajisahau na wanaanza tena siasa zao chafu za uvunjifu wa amani. Safari hii ndio itakuwa mwisho wao daima.
Tumeshachoshwa na vitisho vyenu, kama kuna ukweli kwa nini mtishie waananchi? Vitisho ni dalili ya Udikteta
 
Mwizi ni mwizi awe CCM au CHADEMA.

Angalau umekuja kivingine.....sisi huku usije na ishu za watu binfsi...eti slaa ,eti mbowe,...eti zito,...eti hawara..ETI FULANI ALIONJA MBOGA JIKONI HAYA NI MAMBO YA KULE SHULE ZA MSINGI...NJOO HAPA KISOMI..(STRATEGICALLY) ..MWOMBE MUNGU SANA SANA TENA SANA, LAANA YA KURITHI IKUTOKE MAANA IMEKUKAMATA TENA SANA.....

SIKU NJEMA
 
Nani Mhaini kati ya anayewatetea wananchi na yule anayewaangamiza?
Kikwete ni Mwizi je, siyo mhaini?

Nchi hii ukishakuwa unatibua malengo ya mafisadi hawachelewi kusema unahatarisha amani au uhaini. Kauli za wakombozi wetu ni tishio kwa usalama wa mafisadi. :target:
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Nafikiri giza lililomo kichwani mwako ni giza la kutisha mno. Wana-JF huyu jamaa alikwishalaanika siku nyingi. Hayo anayoongea yanaonesha kuwa yuko kwenye ICU ya laana. Naomba tusipoteze muda wetu kujibu watu kama hawa.
 
Angalau umekuja kivingine.....sisi huku usije na ishu za watu binfsi...eti slaa ,eti mbowe,...eti zito,...eti hawara..ETI FULANI ALIONJA MBOGA JIKONI HAYA NI MAMBO YA KULE SHULE ZA MSINGI...NJOO HAPA KISOMI..(STRATEGICALLY) ..MWOMBE MUNGU SANA SANA TENA SANA, LAANA YA KURITHI IKUTOKE MAANA IMEKUKAMATA TENA SANA.....

SIKU NJEMA

Wanavyeo zaidi ya chadema? Katika kila jina binafsi badili uweke cheo chake.

"damned if you do damned if you don't".
 
Kadakabikile, wewe ndie mchochezi na asiyependa haki za watanzania..
Jibu maswali haya:-
*.*. Unaipenda Tanzania yenye Amani? Ndio au La?
Kama ndio;
....a). unaupenda uvamizi ulitokea Kabuhorera, Kirumba, Mwanza hatimaye wabunge wakiwamo watu fulani fulani wakajeruhiwa?
..b). Unaupenda unyanyasaji wa Askari polisi dhidi ya wapinzani na raia watanzania?
...c). Unavutia kwako kwa kuwa wewe ni mwana CCM kutimiza methali 'kila mwamba ngozi huvutia kwake? Na kama ndivyo:- jiulize swali kama Mb. Machemli wa jimbo la Ukelewe na Mb. Kiwia wa jimbo la Ilemela, Mwanza wangekuwa ni kaka zako, ndugu zako, rafiki wako au majirani wako, ungejihisi vipi?
..d). Wabunge hawa wa chadema, wangeuwa ungefaidi nini?
...e). Mbona Mb. Lusinde wa CCM hajakamatwa kwa matusi yake ama ndio kusema 'Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu?
..............................................
Kadakabikile, Mpende adui yako kama ujipendavyo.
..mwisho, hakuna urafiki au uadui wa kudumu katika siasa kwani kidumcho ni malengo na mahitaji ya mwanasiasa.
 
Last edited by a moderator:
mwenye post hajui maana ya anachokiita uhaini au uchochezi; hivi kuna wahaini na wachochezi kuliko akina lusinde? mawaziri wa serikali ya jk na ccm yake wataponea wapi wao; fikiri vizuri mkuu
 
Kadakabikile, wewe ndie mchochezi na asiyependa haki za watanzania..
Jibu maswali haya:-
*.*. Unaipenda Tanzania yenye Amani? Ndio au La?
Kama ndio;
....a). unaupenda uvamizi ulitokea Kabuhorera, Kirumba, Mwanza hatimaye wabunge wakiwamo watu fulani fulani wakajeruhiwa?
..b). Unaupenda unyanyasaji wa Askari polisi dhidi ya wapinzani na raia watanzania?
...c). Unavutia kwako kwa kuwa wewe ni mwana CCM kutimiza methali 'kila mwamb
Napenda nijibu maswali yako ambayo nadiriki kusema kuwa ni mazuri kama ifuatavyo.
Kwanza kabisa napenda sana kitu kiitwacho amani, ndiyo maana nawachukia sana Chadema kwa kuwa wamekuwa wakihatarisha amani ya nchi yetu.
Pili, hao wabunge waliokatwa mapanga ni kutokana na chuki ambazo haziishi ndani ya Chadema, ona Chadema wasivyo na adabu wanadiliki kukatana mapanga wao kwa wao, je, endapo wakikabidhiwa nchi, itakuwaje?.
Tatu sifurahii kukatwa mapanga kwa hao wabunge, lakini ninachowaomba hao wabunge, waachane na Chama chenye chuki maana wakiendelea kuwemo humo wanaweza kuuawa.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Unadhani kukamata viongozi wa CDM ni very easy kama kukamata kuku??
 
Back
Top Bottom